Kwanini Rugimbana alifutwa kazi ukuu wa mkoa Dodoma?

Lissu-na-hotuba...3.jpg
Huu ni uchochezi. Subiri waje wenye nchi yao.
 
"Natambua kwamba Mamlaka ya uteuzi yaweza kumteua yeyote , popote na wakati wowote na kumfuta kazi yeyote , lakini bila shaka kunakuwa na sababu zozote zile , je kwa huyu Mheshimiwa ni kitu gani kilisababisha afutwe kazi ?" Cheo ni dhamana! cheo ni kama koti
Alimega muke ya mukubwa
 
Naomba mwenye majibu ya hili anisaidie jamani .

Natambua kwamba Mamlaka ya uteuzi yaweza kumteua yeyote , popote na wakati wowote na kumfuta kazi yeyote , lakini bila shaka kunakuwa na sababu zozote zile , je kwa huyu Mheshimiwa ni kitu gani kilisababisha afutwe kazi ?

Natanguliza shukrani .
Mimi nadhani sababu ni ile response yake ya haraka baada ya shambulio la Lissu. alifuatilia suala hilo na kutoa taarifa. aliionesha serikali ya JPM kama inajali sana maslahi ya Tundu Lissu.
 
Naomba mwenye majibu ya hili anisaidie jamani .

Natambua kwamba Mamlaka ya uteuzi yaweza kumteua yeyote , popote na wakati wowote na kumfuta kazi yeyote , lakini bila shaka kunakuwa na sababu zozote zile , je kwa huyu Mheshimiwa ni kitu gani kilisababisha afutwe kazi ?

Natanguliza shukrani .
Kalikuwa kajinga sana wakati tunafuatilia stahiki zetu za kubomolewa nyumba kupisha upanuzi wa uwanja akawa na kauli za hovyo karma is a bitch
 
Sio mkolomije ni mzaliwa wa hapahapa dodoma huyu mzee mahenge namjua vizuri
Wewe nae ni muongo tu...Unamjua Mahenge?? Bilith Saatano Mahenge kwao ni Wilaya ya Makete huko Mkoani Iringa wala sio mgogo usidanganye watu...
 
Kwa sababu yeye alikuwa Mkt wa kamati ya ulinzi mkoa, alishindwa kuzuia kunguru mbeba watu kupaa angani na mgomba ulioliwa na wadudu 16 toka makao makuu ya nchi kwenda mashariki ya karibu

Hivi TAL kapona?
 
Back
Top Bottom