The Lonnie
Member
- Sep 3, 2024
- 12
- 26
Kwanini Riba ya mikopo ya mabenki ni kubwa kuliko anachopata mtumishi mfano unaeza kopa mil 6, take home mil 5.31 alafu marejesho inakua mil 9 hii imekaaje wakuu? Tuwasaidie Gen Zee
Hakika, huko benki kuna mambo mengi siku hizi. Kuna vikundi kwa sasa unatuma text ya kuomba mkopo leo, kesho umeingiziwa mzigo wako maisha yanasonga. Muhimu ni kurejesha kwa wakati usiwaingize wadhamini wako kwenye utata.Wenzenu sasa tumejikita kwenye vicoba huko benki tumekimbia...
Kama ulivyosema, riba inategemea vitu vikubwa 2, risk profile ya mkopaji na muda lakini uhalisia Bongo uko tofauti. Kwa mfano, mfanyakazi wa ajira ya kudumu risk profile yake ni ndogo, why akope kwa riba kubwa?Sema tukusaidie wew, halafu kingine wakati sisi tunasoma hesabu wew ulikuwa busy na sket,
Back to topic, riba kuwa kubwa hutegemea, muda unaokaa na mkopo, ukikaa nao sana riba inakuwa kubwa + risk katika market ya nchi za dunia ya tatu ni kubwa, eg unampa mtu mkopo wa biashara ya magari ambayo kesho anaweza firisika kisa kapishana kauli na mbungd etc, so riba iwe kubwa kucover risk hio
Nani kasema risk ya mfanyakazi ni ndogo? Akifa? Akifutwa kazi?Kama ulivyosema, riba inategemea vitu vikubwa 2, risk profile ya mkopaji na muda lakini uhalisia Bongo uko tofauti. Kwa mfano, mfanyakazi wa ajira ya kudumu risk profile yake ni ndogo, why akope kwa riba kubwa?
Shida ni moja tu, bank wame load operating expenses kwenye mkopo ndio maana mkopo unakua na bei ghali sana bongo.
Kwa mfanyakazi mpya ndio risk ni kubwa kwa sababu bado mafao yake hayawezi kulipa mkopo just in case akafa ama akafutwa kazi mapema ila kwa mtu ana miaka 15 na kuendelea kazini hata akikopa akafa ama akaacha kazi bado mafao yake yanaweza kulipa mkopo lakini pia mkopo huo mfanyakazi ameulipia bima.Nani kasema risk ya mfanyakazi ni ndogo? Akifa? Akifutwa kazi?
Halafu bank sio wameload operating expenses kwenye mikopo, hio ndio kazi yao, bank ni mahali pa kukopa pesa, so automatically pesa yao itatokana na mikopo
Mambo ya Kaushal damu??Hakika, huko benki kuna mambo mengi siku hizi. Kuna vikundi kwa sasa unatuma text ya kuomba mkopo leo, kesho umeingiziwa mzigo wako maisha yanasonga. Muhimu ni kurejesha kwa wakati usiwaingize wadhamini wako kwenye utata.
Wala sio kausha damu, kuna vikundi mtaani vina riba za kizalendo sana mkuu.Mambo ya Kaushal damu??
Unaelewa maana ya bima ya mkopo,harafu unajua maana ya mkataba,? Unapokopa unakuwa umesign makato yatatoka kwenye mshahara sio mafao, haiwezekani nikope Leo halafu kesho nifukuzwe kazi dheni bank waingilie mafao yangu,hiyo ni nje na makatabaKwa mfanyakazi mpya ndio risk ni kubwa kwa sababu bado mafao yake hayawezi kulipa mkopo just in case akafa ama akafutwa kazi mapema ila kwa mtu ana miaka 15 na kuendelea kazini hata akikopa akafa ama akaacha kazi bado mafao yake yanaweza kulipa mkopo lakini pia mkopo huo mfanyakazi ameulipia bima.
Banks walipaswa wawe wana profile wafanyakazi independently kuliko kuwaweka kundi moja, alieajiriwa leo na alieajiriwa 20years ago kwani risk profile zao ziko tofauti kama inavyofanyika kwenye business ama individual borrowers
Akifa kuna bima anakuwa amelipia kwahyo bima ina compasate mkopo. Ukifukizwa kazi mwajiri ata lazimika kufidia mkopo maana aliku garantee kwenye kupewa mkopo.Nani kasema risk ya mfanyakazi ni ndogo? Akifa? Akifutwa kazi?
Halafu bank sio wameload operating expenses kwenye mikopo, hio ndio kazi yao, bank ni mahali pa kukopa pesa, so automatically pesa yao itatokana na mikopo
Sijui kama unaelewa unachokiandika.Unaelewa maana ya bima ya mkopo,harafu unajua maana ya mkataba,? Unapokopa unakuwa umesign makato yatatoka kwenye mshahara sio mafao, haiwezekani nikope Leo halafu kesho nifukuzwe kazi dheni bank waingilie mafao yangu,hiyo ni nje na makataba
Haramu ni mtazamo wako tu.Riba haramu