Kwanini Redio nyingi huwa wanamuuliza Aden Rage tu kupata ufafanuzi wa mpira wa miguu

Mleta mada labda ungetoa ushauri zaidi kuliko kulaumu!

Toa mapendekezo ya majina ya watu ambao wewe unaona wanafaa pia au wanafaa zaidi kuulizwa na hizo redio kuhusu mpira,huenda mapendekezo yako yakafanyiwa kazi.
 
Mwandishi au mtangazaji lazima ujiongeze kujua kada mbalimbali na wataalam waliobobea katika kada hizo ili unapopata jambo fulani kuhitaji ufafanuzi then unawapata hao waliobobea na wapo waliobobea katika mpira wengi tu nchini si Aden Rage peke yake
 
Ahsante sana Mkuu labda na kujua kuongea pia siyo anaitwa mtu mwenye kigugumizi mwanzo mwisho hata anachoongea wasikilizaji hawakielewi.

BAK
Unasikia, Mimi nasisitiza maneno yako kwa kumwona Aden Rage akichezea Coop united ya mwanza miaka ya sabini na akina Martin Darey R.I.P
Na kuendea na fani hiyo uchezaji mjumbe wa FAT mkoa na vitu Vingi kama hivyo hadi leo!
Said Elmaamry, kweli ni kiongozi wa CAF lakini amebobea mwenye Sheria si hasa mchezo wa mpira
 
Back
Top Bottom