Kwanini redio Ebony Fm ya Iringa inaomboleza wiki sasa, kulikoni?

daizouh

JF-Expert Member
Mar 13, 2020
463
496
Kwanini redio Ebony FM inayosikika Iringa, Dar , Njombe, Mbeya imekuwa ikipiga nyimbo za maombolezoo tangu mwezi uliopitaa mpaka mwezi huu bado tu wanaomboleza, hakuna kipindi chochote tofauti na nyimbo za dini na misiba
 
Kwanini redio ebony FM inayosikika Iringa, Dar , njombe, mbeya imekuwa ikipiga nyimbo za maombolezoo tangu mwezi uliopitaa mpaka mwezihuu badotuu wanaomboleza , hakunakipindi chochotee tofauti nanyimbo za dini na misiba
Mzee Mfugale.
 
Mkuu huna taarifa za kifo cha Mzee Mfugale na hufahamu uhusiano uliopo kati ya hiyo radio na huyo mzee aliyefariki?
 
Mfugale yupii yule manager wa tanroad wa zamani? Yulee alikuwa ni engineer aishie DSM , radio ebony ni tasnia ya habar ipoo Iringa uhusiano unakujajee
 
Ukimzingua MBOWE inakula kwako

Kuna misiba mfululizo pia mkuu:

IMG_20210805_083950_902.jpg
 
Kwanini redio Ebony FM inayosikika Iringa, Dar , Njombe, Mbeya imekuwa ikipiga nyimbo za maombolezoo tangu mwezi uliopitaa mpaka mwezi huu bado tu wanaomboleza, hakuna kipindi chochote tofauti na nyimbo za dini na misiba
Nipe frequency zake nikasikilize niko dar es salaam nishuhudie izi habari za kuambiwa ambiwa sitaki
 
Kwanini redio Ebony FM inayosikika Iringa, Dar , Njombe, Mbeya imekuwa ikipiga nyimbo za maombolezoo tangu mwezi uliopitaa mpaka mwezi huu bado tu wanaomboleza, hakuna kipindi chochote tofauti na nyimbo za dini na misiba
Sasa unataka wafanye nini, mbwa wote wamekwisha mitaani Iringa, wamebaki nguruwe na kuku tu kitu ambacho Wahehe hawapendi.
 
Mzee Mfugale mmiliki wa Peacock Hotel Dar es Salaam aliyefariki hivi karibuni ni baba mzazi wa mmiliki wa hiyo radio. Infact zipo taarifa za chinichini kwamba huenda hata radio yy ndiyo alikuwa mmiliki halisi huyo mtoto ni shadow tu. So hiyo radio wako na msiba mzito. Hope umenielewa sawia hapo mkuu.
Lakini msiba si umeshaisha? au nido alikuwa programs manager?
 
Kwanini redio Ebony FM inayosikika Iringa, Dar , Njombe, Mbeya imekuwa ikipiga nyimbo za maombolezoo tangu mwezi uliopitaa mpaka mwezi huu bado tu wanaomboleza, hakuna kipindi chochote tofauti na nyimbo za dini na misiba
Mhhh Nilivyoona Neno "EBONY" Tu Nikajua Kuna Mambo mujarrab..
 
Back
Top Bottom