Swali lingine leo: Kwanini jitihada za Raisi zinaonekana kuwa zinahusu Dar-es-salaam peke yake? Kuna mikoa watu hawana hata barabara ya baiskeli. Kwanini hao watu wamesahauliwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.