Kwanini Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi hapandi ndege za Serikali?

Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
17,974
2,000
Ila urais una raha yake
1619599281602.png

Injini imegongwagongwa mithili ya makarai ya pale gerezani Kariakoo, halafu ikitokea ajali wanasema kazi ya Mungu haina makosa

Zamani Zanzibar walikuwa na jet plane nzuri sana kwa mara ya mwisho niliiona gazetini miaka ya 90 imenyofolewa mbawa pale Dodoma ikapakiwa kwenye ndege nyingine wakaipeleka nje sijui kama ilirudi!!
 

Heri

JF-Expert Member
Aug 28, 2007
338
250
Kwani ndege ya serikali anapanda bure ? Inawezekana ni rahisi kutumia Flightlink kuliko ndege ya serikali. Mtume CAG wa Zanzibar aka mu audit
 

Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
12,276
2,000
uyu mke wa Rais mwinyi amefanana na aliekuwa mke wa mchezaji wa Simba wa zamani, alikuwa anaitwa Method Mogella(kilaka)........au ndio uyu aliolewa na mwinyi baada ya kufa Method
Mke wa methody marehemu....alikuwa mtoto arusha familia ya kasegenye huyu ni mhehe....mbichi kabisa....
 

Bemendazole

JF-Expert Member
Nov 14, 2020
666
1,000
Wangeinunulia injini mpya hii ndege wampe awe anaitumia kama ndege ya Rais wa Z'br. Otherwise wamnunulie ndege ndogo ya Pilatus PC 24; which ever is cheaper.

images (3).jpeg

images (4).jpeg
 

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
5,076
2,000
uyu mke wa Rais mwinyi amefanana na aliekuwa mke wa mchezaji wa Simba wa zamani, alikuwa anaitwa Method Mogella(kilaka)........au ndio uyu aliolewa na mwinyi baada ya kufa Method
Huyo ni kutoka familia ya hans pop wa simba ni muhehe wa iringa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom