Kwanini rais wa Zanzibar hataki kujihusisha na mambo ya kupokea Ndenge za Magufuli?

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,852
Heshima kwenu wakuu,

Naomba kujua kwanini rais wa Zanzibar hapongezi, hafurahii wala haongelei chochote kuhusu ndege zinazonunuliwa.

Je hashirikishwi?

Je, Hanufaiki nazo?

Mimi naona aibu kila ndege zinapokuja wanapiga picha watu wote Serikalini isipokuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Mimi siri ya Zanzibar kutokuunga mkono juhudi za rais wetu? Au hawamtaki?

Nadhani huu ndo mwanzo, wameanza kijitenga kwenye maswala ya maendeo
 
Kwani hizi ndege ni za Muungano? Kwa mtazamo wangu finyu, hizi ndege siyo za Muungano wala siyo za ATC. Ni za serikali ya Tanganyika inayoongozwa na JPM.
Haya mambo ya kujifanyia tu bila bajeti iliyopitishwa na bunge letu dhaifu yatatuchanganya sana. Ipo siku wazanzibari watadai faida inayotokana na haya mashirika mpaka standard gauge na stiglers gorge watadai kwani watasema kwenye zile zilizochotwa hazina na kodi zao pia zilikuwepo.
 
Kwani na yeye anaamini kuwa sisi tu ndio tumeweza kununua ndege kubwa Africa?
ana mambo mengi ya msingi ya kufanya ndege hata sudani zipo
 
Heshima kwenu wakuu,

Naomba kujua kwanini rais wa Zanzibar hapongezi, hafurahii wala haongelei chochote kuhusu ndege zinazonunuliwa.

Je hashirikishwi?

Je, Hanufaiki nazo?

Mimi naona aibu kila ndege zinapokuja wanapiga picha watu wote Serikalini isipokuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Mimi siri ya Zanzibar kutokuunga mkono juhudi za rais wetu? Au hawamtaki?

Nadhani huu ndo mwanzo, wameanza kijitenga kwenye maswala ya maendeo
Zanzibar ni nchi?
 
Kwani Usafirishaji na Uchukuzi ni Union Matters?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hizo gharama za kumtoa zanzibar kwa ajili ya uzinduzi wa ndege si bora zitumike mahospitalini.kuongeza dawa na vitendea kazi
 
Jana kazindua shule yenye thamani ya 2.3B, iliyojengwa na mfanyabiashara S.S Bakhresa. Elimu kwanza, mengine baadae.
 
Naona uchokonozi kwa mbali!! Hata hivyo, nadhani anacheza katika eneo lake la kujidai. Anajitahidi asipuliziwe kipyenga cha kuotea (off side).
 
K
Heshima kwenu wakuu,

Naomba kujua kwanini rais wa Zanzibar hapongezi, hafurahii wala haongelei chochote kuhusu ndege zinazonunuliwa.

Je hashirikishwi?

Je, Hanufaiki nazo?

Mimi naona aibu kila ndege zinapokuja wanapiga picha watu wote Serikalini isipokuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Mimi siri ya Zanzibar kutokuunga mkono juhudi za rais wetu? Au hawamtaki?

Nadhani huu ndo mwanzo, wameanza kijitenga kwenye maswala ya maendeo
Kwahiyo aache shughuli zake aje kupoteza muda kufanya ishu ambayo anaweza kuifanya si PM bali Katibu mkuu wa wizara,
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom