Kwanini Rais wa Uganda Museveni hang’oki Madarakani, haya ndiyo majibu yake

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,837
2,000
Some people think that being in government for a long time is a bad thing. But the more you stay, the more you learn. I am now an expert in governance “.

Shikamoo Rais Mzee Yoweri Amos Kaguta Museveni a.k.a Mwamba wa Mbarara a.k.a Mwamba wa Ankole a.k.a Mwanamume wa Vita vya Msituni Afrika nzima.

Nawasilisha.

Chanzo: AZ QUOTES
 
superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
5,305

popoma nakuona
 
koro-boy

JF-Expert Member
Sep 29, 2017
360
250
Tanzania tumetoka huko siku nyingi. Rais wetu anachapa kazi akimaliza muda wake atakuja mwingine na WaTZ tutasonga mbele.
 
TUTUO

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
3,230
2,000
Tanzania tumetoka huko siku nyingi. Rais wetu anachapa kazi akimaliza muda wake atakuja mwingine na WaTZ tutasonga mbele.
Acha kupotosha anakuja wa chama kile kile hata kwa kulazimisha kwa goli la mkono, hebu wekeni uwanja sawa kwanza ndio ujisifu ,sawa sawa? In Maalim voice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom