Kwanini Rais Uhuru hajahudhuria uapishwaji wa Rais Magufuli?

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,017
16,427
Toeni maoni yenu. Yangu ni kwamba Rais Magufuli bado ana machungu kwa sababu Rais Uhuru alifuata maagizo ya wanasayansi kuhusu njia za kudhibiti Corona ikiwemo kupima madereva wa Tanzania waliokuwa wanaleta Corona huku.

Rais Magufuli naye akaamua kufutilia mbali urafiki na Kenya kama vile alifutilia mbali upinzani au kama vile alifutilia mbali Corona kwa maombi pekee
 
Duh! Hivi Tanzania mlikosea wapi, naona kwa dunia yote na Afrika, ni marais wa nchi mbili tu waliohudhuria, Uganda na Zimbabwe, yaani hata huko SADC yote waliwakwepa.

Yaani mlishaangukia pua kidiplomasia, japo huwa hamtaki kuambiwa. Hivi hivi ndivyo mlikwepwa kwenye mazishi ya Mkapa.
 
Uhuru anajitambua. He is a democrat. Hawezi kuunga mkono what happened in Tanzania. Kuna marafiki wengine ni bora kutokuwa nao karibu. Why would you like to be associated with a thief, a dictator?
Hivi mtu ambaye anawapiga risasi na kuwaua raia wake kwa mamia kila kunapifanyika uchaguzi, utamuita mwana demokrasia?
 
Hajakaribishwa! Na kama angekuwa amekaribishwa angetuma hata special delegation!
Ndio angetuma special delegation ila mngewakataza kuland kama vile mlifanya katika mazishi ya Mkapa.
 
Back
Top Bottom