Kwanini Rais Samia unafanya maisha yetu Watanzania kuwa magumu hivi?

Naona hapo kwenye heading umemwita kuwa ni mheshimiwa.Labda nikukumbushe tu kuwa Mama wa kambo huwa haitwi mheshimiwa.She is clown.
Matahira kama wewe hamsumbui chochote, mngejua nini tunamfanya huyo mwamba wenu now msingeongea
 
Kwahiyo kodi zote ukizoa zimetosheleza kujenga miradi ya maendeleo? Je vijiji vyote vina huduma ya maji ya uhakika? Barabara za uhakika? Shule? Zahanati?
Kwahiyo maeneo mengi bado hayajafikiwa, tumpe muda Rais ana mambo mazuri
Hapo una maanisha maeneo mengine yameshapata maendeleo kwa hizo kodi,kwa nini kodi hizo hizo zisihamishiwe maeneo ambayo hayajapata maendeleo,mnaongeza kodi wakati kodi zilizojenga maeneo mengine zipo?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Mama Samia ongezà tozo,bei ya petroli,gesi,pandisha kila kitu ili Serikali ipate hela nyingi ili wateule wako waishi kama malaika wakiendesha maviieite yao, sisi walipa kodi hata tukifa kwa utapiamlo ni stahiki yetu maana ndiyo maisha tuliyoyachagua
Huku misafara yao ikiongozwa na polisi,takukuru,tiss na uhamiji utasema wapo somalia au afganistan.
Yote hiyo inatokana na matendo yao kinyama yasivyokubalika

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Habari wanaJF,

Watanzania tunajiuliza kwa nini Rais wetu wa sasa anaruhusu mambo haya.

Una ajenda gani? Je, wewe hutambui wananchi wako walivyo maskini na fukara sana?!

Ngoja niwaoneshe, Chini yako Mh. Rais Samia umeruhusu mambo haya:

1. Umeongeza gharama za kutuma na kupokea hela katika (tozo ya uzalendo) simu tu
Hivi mlishajiuliza, kwa nini "tozo" hizi hazikuwekwa kwenye kutuma na kutoa hela benki, labda na T/T kimataifa?
Kwa sababu benki na kwenye "kimataifa" wapo wenye uwezo (matajiri). Ni watu wa chini tu na wachache wa kipato cha kati, wanatumiana hela kwa simu Tz. Huu ndio ukweli. Leo, Rais umefanya kutuma hela kwa sisi maskini imekuwa ngumu sana. Yani kumtumia Mama elfu 10 kijijini unawaza, hadi uwe na elfu 3 ya ziada. Kweli?
Unakuwaje Rais unayefurahia hili?

Halafu una maneno matamu, vitendo huna! Kwani waTz ni watoto hadi uwape maneno tu!

2. Umeongeza bei za mbolea kwa wakulima
Najiuliza tena, tumekukosea nini sisi "hohehahe" wa Tanzania. Ukaona tozo hazitoshi, ukaja mpaka kwenye kilimo chetu.
Kwamba Samia unataka hata kula yetu iwe ya gharama kiasi hicho. Tutazalishaje chakula.?

Nisaidieni kumuuliza swali Rais wetu.(Hivi Rais wetu unayajua kweli maisha ya Watanzania wako?) wapo mtakaomtetea ktk hili la mbolea, kwamba labda bei ktk soko la dunia imepanda. Ni hoja mufilisi hii. Serikali miaka yote hutoa ruzuku kwa uingizaji wa mbolea nchini. Samia anashindwa nini kufanya hivyo, ili bei ibaki vile vile!
"Halafu akajisemea kwamba kuna kiwanda kinajengwa, kiwanda kitashusha bei, leo?

3. Umeongeza kodi kwenye nishati ya Mafuta
Ndio, wewe ndio umesaini bajeti mpya. Ina kodi nyongeza za uingizaji nishati za mafuta dizeli, petroli na taa.Kama ulivyosaini tozo za simu.Kwa hiyo na gharama za usafirishaji zimeongezeka chini yako. Hapo bado kuna zile nyongeza mpya za EWURA kila mwezi.
Kwa hiyo nikimtumia mama yangu hela kijijini, inakatwa mara mbili. Mama akienda kununua mbolea, anakuta bei mara mbili. Mazao yakiiva shambani, akiita Toyo ambebee, gharama ya usafiri imepanda mara mbili. Kwa hiyo kila hitaji hapo inabidi hela yake mama huko kijijini aiongeze mara mbili, kuna maisha hapo kwa masikini nchi hii tena?

4. Bei ya gesi majumbani nayo imeongezeka
Sasa hii nayo ni funga kazi, nendeni mkaulize bei mlizokuwa mnajaza gesi za majumbani.Hivi kweli, hela inakatwa mara mbili, tukienda shambani, mbolea haishikiki, kusafirisha chochote gharama ya dizeli juu, ukija kwa mama kijijini asitumie mkaa, au kuni, anakuta gesi bei juu, hivi kuna mzunguko wa maisha kwa maskini hapo? Hata kijana akitaka kujiajiri shambani, ataweza vipi?

Halafu kuna "mijitu" inasema "Mama anaupiga mwingi"

Ukitazama hivyo vitu vyote hapo juu gesi, mafuta dizeli, petroli, mbolea, n.k. wawekezaji wake ni matajiri, na wanufaika wake ni masikini hohehahe. Je, Mama ameamua kuchukua hela kwa maskini na kuwapa matajiri?

Maskini tunaumia sana.
Hata siku tulipokuwa tunahama kutoka analogy kuja digital ulilalamika hivi hivi, so tulia
 
Ikiwa mpaka sasa hujaitwa Sukuma Gang na wala hujaambiwa unamchukia Samia au kuambiwa Rais Magufuli keshakufa na harudi tena, basi ni hakika tumeshapiga kona kurudi kwenye uhalisia wa siku zote!
 
Summary ccm inawanyonga wanyonge
 
Nasema hivi:

Gharama zipo chini sana. Mama aongeze tena kidogo ili wote tupate akili ili ukifika muda wa kuimba " wataisoma namba" tubadilishe iwe " tutaisoma namba"
Mama aongeze tena kidogo ili watanzania wote tupate akili tujue kua ccm ni ileile. Waja tuisome namba eeeeeh
 
Mama anafungua nchi!

Mama anawakomesha mataga na sukuma gang

Mama anaupiga mwingi sana!

Maama ana rudisha hela mtaani ili sisi mibavicha tuwe tunaziokota.

Polepole na Bashiru wanakiona cha moto!

Tuchangie maendeleo mkuu ,kila sehemu ukipita serikali inasambaza maji ,nguzo za umeme wanaweka ,barabara zinatengenezwa ,mishahara kwasasa ni tar 25 tu , mama kakataa fedha za dhuluma zilizlokuwa zinakusanywa na TASK FORCE ya kina bashite ,jambazi sabaya kwa kuwapora fedha wafanyabiashara.

Mama anataka sisi wenyewe tuchangie maendeleo ,kama tozo ni kubwa acha kutumia maana ni option ,panda gari au agiza boda boda apeleke mkuu ,kama gesi bei juu tumia mkaa.

Mikumi tena kwa SSH...Tozo muhimu kwa maendeleo ya nchi......Wamarekani wanakatwa pesa zinakuja kwetu kwa misaada au haujawai kuona "KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI"?
 
Huku misafara yao ikiongozwa na polisi,takukuru,tiss na uhamiji utasema wapo somalia au afganistan.
Yote hiyo inatokana na matendo yao kinyama yasivyokubalika

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Ila wajue mwisho wa ubaya ni aibu na mshahara wa dhambi ni mauti. Sisi tunaendelea kumlilia Mungu, na hukumu ikija wasituone sisi siyo binadamu tutakapofurahia Mungu kuwapatiliza watesi wetu.
 
Huwezi ukawa Rais na mawaziri wako. Mnakaa mnajifungia, mnaleta vitu paap ...vyote vya kuumiza wananchi.
mbona unajiondoa akili km hujaelewa, keshatamka hizo TOZO zote anazijua zipo na zitakuwepo ila waziangalie ili zisiwaumize wananchi.
Kodi ilikuwa inakusanywa kwa walipa Kodi 500 tu katika Tanzania yenye watu milioni 60 na wenye uwezo wa kulipa ni zaidi ya milioni 20 umeshaambiwa na Waziri
Wamachinga wote na Wajasiriamali hawalipi chochote
sasa km una simu na unaweza kuijaza pesa utasaidia UCHUMI wa Nchi hii
Mwendazake alvamia a.c za Watanzania wanaolipa riba na huduma za benki unataka tena wakamuliwe peke yao
sasa ni Watanzania wote tuchangie Maendeleo
 
Mkuu kwani kwenye miamala kulikuwa hakuna Kodi?
 
Back
Top Bottom