Kwanini Rais SAMIA amesema mabango hataki, Je hii ndiyo demokrasia?

The lost

JF-Expert Member
Jul 3, 2017
2,695
8,209
Kuna maneno yanayosemekana yametamkwa na mkuu wa nchi ya kwamba yeye hataki kuona wananchi wamebeba mabango. Swali langu ni kwanini hataki wananchi wafikishe ujumbe kwa njia ya mabango? Je wote wataweza kumuuliza maswali na kupata dukuduku na kero zao?

Mabango ni haki ya wananchi kueleza kero zao na kama kweli hataki basi tutakuwa tumepata pigo kubwa na huenda uongozi wake ukawa wenye matokeo hasi hasa ukizingatia sisi wananchi tunahitaji UHURU na haki ya KUSIKILIZWA.
 
Kuna maneno yanayosemekana yametamkwa na mkuu wa nchi ya kwamba yeye hataki kuona wananchi wamebeba mabango. Swali langu ni kwanini hataki wananchi wafikwekishe ujumbe kwa njia ya mabango? Je wote wataweza kumuuliza maswali na kupata dukuduku na kero zao?
Mabango ni haki ya wananchi kueleza kero zao na kama kweli hataki basi tutakuwa tumepata pigo kubwa na huenda uongozi wake ukawa wenye matokea hasi haswa ukizingatia sisi wananchi tunahitaji UHURU na haki ya KUSIKILIZWA.
Kweli ni hasara tupu, inamaana hukumwelewa mpaka Leo alichomaanisha duuh 😂😂😂🙄🙄🙄 Tanzania yangu nakupenda
 
Kuna maneno yanayosemekana yametamkwa na mkuu wa nchi ya kwamba yeye hataki kuona wananchi wamebeba mabango. Swali langu ni kwanini hataki wananchi wafikishe ujumbe kwa njia ya mabango? Je wote wataweza kumuuliza maswali na kupata dukuduku na kero zao?

Mabango ni haki ya wananchi kueleza kero zao na kama kweli hataki basi tutakuwa tumepata pigo kubwa na huenda uongozi wake ukawa wenye matokeo hasi hasa ukizingatia sisi wananchi tunahitaji UHURU na haki ya KUSIKILIZWA.
Kichwa Cha mwendawazimu
 
Mwendazake alishawahi kusema "Watu wakikuchukia hata kama unachezea maji watasema unawatimulia vumbi".

Wewe hukumuelewa mama msikilize kwa makini unless uwe unamchukia.
 
Kuna maneno yanayosemekana yametamkwa na mkuu wa nchi ya kwamba yeye hataki kuona wananchi wamebeba mabango. Swali langu ni kwanini hataki wananchi wafikishe ujumbe kwa njia ya mabango? Je wote wataweza kumuuliza maswali na kupata dukuduku na kero zao?

Mabango ni haki ya wananchi kueleza kero zao na kama kweli hataki basi tutakuwa tumepata pigo kubwa na huenda uongozi wake ukawa wenye matokeo hasi hasa ukizingatia sisi wananchi tunahitaji UHURU na haki ya KUSIKILIZWA.
Kweli wewe kichwa wazi! Rais anapeleka ujumbe kwamba kama watumishi wa umma wote huko chini wakiwemo ma RC, DC, RAS DAS nk wanawajibika ipasavyo kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika maeneo yao hakuna haja ya wananchi kubeba mabango kila wanapotokea viongozi wa kitaifa, sasa kauli ya Chalamila ni kama anasema "potelea mbali, wacha wabebe mabango ukitaka kutufukuza sawa tu! Ni utovu wa nidhamu, ni kukosa maadili ya utumishi wa umma, ni kukiuka maadili, mila na desturi za kiafrika, hatuwakanushagi wakubwa zetu hadharani! Upo hapo, Chala aache mizaha mizaha kwenye mambo ya msingi! Sasa sijui atarudi kushika chaki darasani na kufundisha sanaa, kuimba na michezo?
Kazi kwake, somo kapata, tena la nguvu!
 
Kuna maneno yanayosemekana yametamkwa na mkuu wa nchi ya kwamba yeye hataki kuona wananchi wamebeba mabango. Swali langu ni kwanini hataki wananchi wafikishe ujumbe kwa njia ya mabango? Je wote wataweza kumuuliza maswali na kupata dukuduku na kero zao?

Mabango ni haki ya wananchi kueleza kero zao na kama kweli hataki basi tutakuwa tumepata pigo kubwa na huenda uongozi wake ukawa wenye matokeo hasi hasa ukizingatia sisi wananchi tunahitaji UHURU na haki ya KUSIKILIZWA.
... Rais alituma ujumbe kwa wateule wake kwamba wananchi wakibeba mabango maana yake wateule/mteule anayehusika ameshindwa kutekeleza wajibu wake wa kuwaondolea wananchi kero zao hadi kufikia hatua ya kubeba mabango!

Hivyo hataki kuyaona means wateule wakatekeleze ipasavyo majukumu yao kero za wananchi ziishe mabango yasionekane! Hakumaanisha kwamba amezuia mabango au demokrasia kama unavyotaka kupotosha. Umeelewa?
 
Kuna maneno yanayosemekana yametamkwa na mkuu wa nchi ya kwamba yeye hataki kuona wananchi wamebeba mabango. Swali langu ni kwanini hataki wananchi wafikishe ujumbe kwa njia ya mabango? Je wote wataweza kumuuliza maswali na kupata dukuduku na kero zao?

Mabango ni haki ya wananchi kueleza kero zao na kama kweli hataki basi tutakuwa tumepata pigo kubwa na huenda uongozi wake ukawa wenye matokeo hasi hasa ukizingatia sisi wananchi tunahitaji UHURU na haki ya KUSIKILIZWA.
Mimi labda nilimelewa vibaya rais.Yeye aliagiza viongozi wasizuie mabango. Isipokuwa endapo mabango yakionyeshwa ni ishara ya utendaji mbovu sehemu husika na angedeal nao sambamba viongozi hao
 
Tunakoelekea, mpiga ngoma ataicheza mwenyewe. Mti haujawahi kuanguka matawi yakasimama.
 
Sasa kero zikielezwa huku mitandaoni kuna tofauti gani na hayo mabango, kero za huku mitandaoni anazipitia bila shida tena anasema kabisa nimeona mitandao hivi na vile.
 
Back
Top Bottom