Rais hakukataza mabango.Kuna maneno yanayosemekana yametamkwa na mkuu wa nchi ya kwamba yeye hataki kuona wananchi wamebeba mabango. Swali langu ni kwanini hataki wananchi wafikishe ujumbe kwa njia ya mabango? Je wote wataweza kumuuliza maswali na kupata dukuduku na kero zao?
Mabango ni haki ya wananchi kueleza kero zao na kama kweli hataki basi tutakuwa tumepata pigo kubwa na huenda uongozi wake ukawa wenye matokeo hasi hasa ukizingatia sisi wananchi tunahitaji UHURU na haki ya KUSIKILIZWA.
kasema mabango yawe ya kiataifa. Akikuta bango silakitaifa RC na wenzake wataondoka. Na kama wame wafinywa wasiweke mabango pia watakiona.