Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,277
- 4,682
Hawa si walikuwa marafiki enzi za uhai wa hayati JPM, na kwenye msiba Rais Museveni hakuja, sasa mbona leo hajaenda kuzuru kaburi la mpendwa rafiki yake? Au ameenda kimyakimya?
Hawa si walikuwa marafiki enzi za uhai wa hayati JPM, na kwenye msiba Rais Museveni hakuja, sasa mbona leo hajaenda kuzuru kaburi la mpendwa rafiki yake? Au ameenda kimyakimya?
Liambie bwana halina kazi nyingine zaidi ya umbea ,sasa anataka kumpangia hadi rais wa Uganda ratibaDomo refu kama chupa kazi Umbeya tuuuuuu.
Kaburi la mwendazake Lina u spesho gani hadi aende kuzuru? Acha ujinga mtoa mada.Hawa si walikuwa marafiki enzi za uhai wa hayati JPM, na kwenye msiba Rais Museveni hakuja, sasa mbona leo hajaenda kuzuru kaburi la mpendwa rafiki yake? Au ameenda kimyakimya?
Ili iweje? Mhenga huyo alidhuru la JK Nyerere enzi hizo in a very special moment. Musaba ana roho mzuri sana atazikwa na wengiHawa si walikuwa marafiki enzi za uhai wa hayati JPM, na kwenye msiba Rais Museveni hakuja, sasa mbona leo hajaenda kuzuru kaburi la mpendwa rafiki yake? Au ameenda kimyakimya?
AliendaKaburi la mwendazake Lina u spesho gani hadi aende kuzuru? Acha ujinga mtoa mada.
Jikite kwenye mada iliyopo mezani. Acha kiherehere na porojo zisizo na this.Nasubiri na uzi wa kwa nini mbowe hajaenda...
Mwacheni JPM APUMZIKE JAMANIHawa si walikuwa marafiki enzi za uhai wa hayati JPM, na kwenye msiba Rais Museveni hakuja, sasa mbona leo hajaenda kuzuru kaburi la mpendwa rafiki yake? Au ameenda kimyakimya?
Tunaomba muongozo wako mtoa mada.Hawa si walikuwa marafiki enzi za uhai wa hayati JPM, na kwenye msiba Rais Museveni hakuja, sasa mbona leo hajaenda kuzuru kaburi la mpendwa rafiki yake? Au ameenda kimyakimya?
Nyie ndio mnaotetewa na shangazi yenu kule twitter, watoto mchele mcheleDomo refu kama chupa kazi Umbeya tuuuuuu.