Kwanini Rais Museveni hajaenda kuzuru kaburi la Hayati Magufuli Chato?

Ibambasi

JF-Expert Member
Jul 25, 2007
9,034
2,000
Hawa si walikuwa marafiki enzi za uhai wa hayati JPM, na kwenye msiba Rais Museveni hakuja, sasa mbona leo hajaenda kuzuru kaburi la mpendwa rafiki yake? Au ameenda kimyakimya?

3016752_IMG_20211129_184102.jpg
 
Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
9,055
2,000
Hawa si walikuwa marafiki enzi za uhai wa hayati JPM, na kwenye msiba Rais Museveni hakuja, sasa mbona leo hajaenda kuzuru kaburi la mpendwa rafiki yake? Au ameenda kimyakimya?
Kaburi la mwendazake Lina u spesho gani hadi aende kuzuru? Acha ujinga mtoa mada.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom