Kwanini Rais Magufuli (Mwenyekiti wa SADC) hakwenda kwenye msiba Mugabe?

Samia ni makamu wa rais, kazi yake ni kumuwakilisha rais
 
Je maraisi wote waliowahi kuhudhuria misiba yetu kama wa baba wa Taifa walikuwa hawana kazi ya kufanya katika nchi zao?
Au ni Magufuli peke yake anayachapa kazi wengine woote wanapoteza muda tu?
Wewe hujawahi shindwa hudhuria sehemu/shughuli kwa sababu mbali mbali?
 
Dege letu lina RB...Limekatiwa RB itakayolikamata na vyote vilivyomo.
 
Kwa maoni yangu, Mugabe amevuruga sana uchumi wa Zimbabwe,kiukweli hakustahili kupata heshima ya kuzikwa na mtu kama Magufuli.
 
Raisi Magufuli ni mwenyekiti wa SADC, kwa muktadha huo ni kiongozi mkubwa katika ukanda huu wa kusini mwa Afrika.

Leo nchi ya Zimbabwe imepata msiba wa kufiwa na muasisi wa Taifa huru la Zimbabwe, Je ni kitu gani kimemfanya raisi Magufuli ambaye ni mwenhekiti wa SADC asiende kwenye msiba wa mpigania uhuru huyo?

Majuzi rais mstaafu mzee Mwinyi alitueleza kuwa wakati yeye akiingia madarakani nchi yetu ilikuwa na uhaba mkubwa mno wa fedha za kigeni na hali ilikuwa mbaya sana lakini serikali ya Mugabe ilitusaidia sana kwenye wakati huo wa shida. Je si ingekuwa vizuri raisi wetu japo kukumbuka uhusiano huu mzuri kwa kushiriki msiba wa kiongozi huyu mpigania uhuru?

Wakati wa kifo cha baba wa Taifa, Mugabe alikuja msibani kulia nasi na kutupa pole Watanzania, kwa nini sisi raisi wetu hajaenda kwenye msiba huu mzito?

Wakati wa uongozi wa Mugabe kama rais wa AU, alishiriki kikamilifu katika kuutambulisha mchango wa Tanzania kwenye harakati za Ukombozi wa Afrika, ni yeye aliyeendesha kampeni ya kuuita ukumbi mmoja wa mikutano wa AU kwa jina la Nyerere. Hii ni baada ya kizazi hiki kuanza kusahau mchango wa mwalimu katika liberation.

Je kwa nini raisi Magufuli Personally kwa niaba ya Watanzania hajaenda kuhani msiba?

Tunajua yupo makamu wa raisi, lakini Makamu wa Raisi siyo Raisi. Na hata nchi nyingine zenye maraisi nazo zina makamo wa raisi pia, lakini je kwa nini wameenda maraisi wenyewe na siyo makamu wao?.
Missile of the Nation, uenyekiti wa SADC si wa mtu ni wa nchi
 
Mugabe amewahi kuwa Rais wa AU?
Kwa maswali yako haya unataka kusema nini? Yaani Mh Rais asipoenda mahali inabidi aseme kwa nini hakwenda?
 
Kwa maoni yangu, Mugabe amevuruga sana uchumi wa Zimbabwe,kiukweli hakustahili kupata heshima ya kuzikwa na mtu kama Magufuli.

Hata msiba wake wangeachia ngazi ya familia kuliko kutumia kodi za wananchi aliowaachia ufukara hadi hela yao haipo kwenye soko La thamani ya fedha wanatumia dola Na Randi ya Mzungu.Amekwapua Pesa mingi Sana za umma zaidi ya dola bilioni 1 .Hivi mwafrika alipigania Uhuru UPI?
 
Raisi Magufuli ni mwenyekiti wa SADC, kwa muktadha huo ni kiongozi mkubwa katika ukanda huu wa kusini mwa Afrika.

Leo nchi ya Zimbabwe imepata msiba wa kufiwa na muasisi wa Taifa huru la Zimbabwe, Je ni kitu gani kimemfanya raisi Magufuli ambaye ni mwenhekiti wa SADC asiende kwenye msiba wa mpigania uhuru huyo?

Majuzi rais mstaafu mzee Mwinyi alitueleza kuwa wakati yeye akiingia madarakani nchi yetu ilikuwa na uhaba mkubwa mno wa fedha za kigeni na hali ilikuwa mbaya sana lakini serikali ya Mugabe ilitusaidia sana kwenye wakati huo wa shida. Je si ingekuwa vizuri raisi wetu japo kukumbuka uhusiano huu mzuri kwa kushiriki msiba wa kiongozi huyu mpigania uhuru?

Wakati wa kifo cha baba wa Taifa, Mugabe alikuja msibani kulia nasi na kutupa pole Watanzania, kwa nini sisi raisi wetu hajaenda kwenye msiba huu mzito?

Wakati wa uongozi wa Mugabe kama rais wa AU, alishiriki kikamilifu katika kuutambulisha mchango wa Tanzania kwenye harakati za Ukombozi wa Afrika, ni yeye aliyeendesha kampeni ya kuuita ukumbi mmoja wa mikutano wa AU kwa jina la Nyerere. Hii ni baada ya kizazi hiki kuanza kusahau mchango wa mwalimu katika liberation.

Je kwa nini raisi Magufuli Personally kwa niaba ya Watanzania hajaenda kuhani msiba?

Tunajua yupo makamu wa raisi, lakini Makamu wa Raisi siyo Raisi. Na hata nchi nyingine zenye maraisi nazo zina makamo wa raisi pia, lakini je kwa nini wameenda maraisi wenyewe na siyo makamu wao?.
Mwiba.
Upo uchomao,
Lakini pia upo ukwaruzao.
 
Back
Top Bottom