Kwanini Rais Magufuli hajali sheria ya Health & Safety?

calmdowndear

JF-Expert Member
Jul 12, 2011
605
273
1.png

2.png

Nasikitika sana kumwona rais ambaye alitakiwa kkufuata sheria akiwa kinara wa kuvunja sheria

Kwenye hii picha hapo juu anaonekana yuko site hajavaa hi-viz, wala hard hat wala viatu ambavyo vinaendana na site ya ujenzi kwani viatu vyake ni rahisi sana kudungwa na misumari na kumdhuru

Hao wengineo (akina Makonda etc) pia wanafuata mfano wake. Huyu anajua fika sheria za Health and Safety ni muhimu na wasaidizi wake nao pia hata habari hawana na hawajali

sasa kama rain anaongoza kwa kuvunja sheria wengine tufanyeje?

Magu you can do better than this.
 
Hahah mtachimbua kila kitu lkn Pombe Magufuli(PhD) yuko ngangari na mwisho wa siku ndiyo Big Boss wa JMTZ, na hakuna maandamano mpaka 2020 vile vile Mbowe ni lazima aondoke kwenye nyumba zetu (NHC) na deni letu alipe, haya kaandamane kwa niaba yake!
 
1.png

2.png

Nasikitika sana kumwona rais ambaye alitakiwa kkufuata sheria akiwa kinara wa kuvunja sheria

Kwenye hii picha hapo juu anaonekana yuko site hajavaa hi-viz, wala hard hat wala viatu ambavyo vinaendana na site ya ujenzi kwani viatu vyake ni rahisi sana kudungwa na misumari na kumdhuru

Hao wengineo (akina Makonda etc) pia wanafuata mfano wake. Huyu anajua fika sheria za Health and Safety ni muhimu na wasaidizi wake nao pia hata habari hawana na hawajali

sasa kama rain anaongoza kwa kuvunja sheria wengine tufanyeje?

Magu you can do better than this.
Contractor wa hiyo site ni nani? OSHA wanapaswa kumchukulia hatua mhandisi mwandamizi, pia TBA inapaswa kumsimamisha kazi ofisa usalama kazini wa site husika. Hii nidhahiri wabongo hatujafikia kiwango cha kupewa kandarasi kubwa.
 
what about Magufuli mwenyewe? Wasaidizi wake na maofisa wa Ikulu?
 
sheria inasema wajibu wa kuangalia usalama eneo la kazi nila mwenye site, JPM na wasaidizi wake hao ni visitors ni jukumu la contractor kuhakikisha usalama wa eneo la kazi. hili eneo naona linajengwa kienyeji sana mtatuulia watoto wetu.
 
the plot thickens...
 
Back
Top Bottom