Kwanini Rais Magufuli hahudhurii Mazishi ya viongozi?

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,300
23,022
Tumeshuhudia misiba ya viongozi wakubwa hivi karibuni, lakini kama desturi na taratibu zetu tumezoea Rais kuhudhuria mazishi pale kiongozi mkubwa anapo fariki.

Alifariki mmbunge wa songea, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa manyara Ndugu Bendera, Kuna jamaa alikuwa anakaa pembeni Rais akiapisha viongozi nk

Lakini katika misiba hii kama tulivyo zoea kuona Marais Wastaafu kuhudhuria mazishi hata ya mkuu wa wilaya imekuwa tofaiti kwa Rais Magufuli.

Je tusiishi kwa mazoea, au sio lazima Rais kufanya hivyo?
 
Mfalme huzika wafalme wenzie tu. Yupo sahihi
 
Nani Kiongozi gani mkubwa aliyefariki na Rais Magufuli hajahudhuria? au unataka kujenga dhana tu isiyo na mashiko kuhusu Rais kuhudhuria misiba tu ili mradi msiba umetokea basi Rais Magufuli ahudhurie tu kama ulivyozoea kwa Rais Kikwete alipokuwa anahudhuria misiba mingi tu mpaka wa msanii Kanumba?
 
Tumeshuhudia misiba ya viongozi wakubwa hivi karibuni, lakini kama desturi na taratibu zetu tumezoea Rais kuhudhuria mazishi pale kiongozi mkubwa anapo fariki.

Alifariki mmbunge wa songea, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa manyara Ndugu Bendera, Kuna jamaa alikuwa anakaa pembeni Rais akiapisha viongozi nk

Lakini katika misiba hii kama tulivyo zoea kuona Marais Wastaafu kuhudhuria mazishi hata ya mkuu wa wilaya imekuwa tofaiti kwa Rais Magufuli.

Je tusiishi kwa mazoea, au sio lazima Rais kufanya hivyo?
Una umri gani mwenzetu.
Desturi unayoongelea ya kuanzia lini?
Naomba tupe mahudhurio ya Rais Nyerere tu kwenye misiba, walau kuanzia msiba w a Marehemu Shekilango tuanzie hapo. Sisi wengine tulikuwepo.
 
..hivi kwanini hakwenda kuwaaga askari polisi?

..ina maana ufunguzi wa hostel ni muhimu kuliko tukio la kuwaaga polisi waliouawa wakiwa kazini?
 
Tumeshuhudia misiba ya viongozi wakubwa hivi karibuni, lakini kama desturi na taratibu zetu tumezoea Rais kuhudhuria mazishi pale kiongozi mkubwa anapo fariki.

Alifariki mmbunge wa songea, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa manyara Ndugu Bendera, Kuna jamaa alikuwa anakaa pembeni Rais akiapisha viongozi nk

Lakini katika misiba hii kama tulivyo zoea kuona Marais Wastaafu kuhudhuria mazishi hata ya mkuu wa wilaya imekuwa tofaiti kwa Rais Magufuli.

Je tusiishi kwa mazoea, au sio lazima Rais kufanya hivyo?
Muulize yeye yupo atakupa jibu.
 
Ni afadhari asihudhirie kuliko kuhudhuria akaishia kutamka kama yale aliyoyatamka kwenye msiba wa Marehemu Masaburi(R.I.P).
 
Tumeshuhudia misiba ya viongozi wakubwa hivi karibuni, lakini kama desturi na taratibu zetu tumezoea Rais kuhudhuria mazishi pale kiongozi mkubwa anapo fariki.

Alifariki mmbunge wa songea, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa manyara Ndugu Bendera, Kuna jamaa alikuwa anakaa pembeni Rais akiapisha viongozi nk

Lakini katika misiba hii kama tulivyo zoea kuona Marais Wastaafu kuhudhuria mazishi hata ya mkuu wa wilaya imekuwa tofaiti kwa Rais Magufuli.

Je tusiishi kwa mazoea, au sio lazima Rais kufanya hivyo?
Yan yule jamaa ana roho nyeusiiiiiii, kama nini sijui
 
Back
Top Bottom