Kwanini Rais Magufuli hahudhurii Mazishi ya viongozi?

Tumeshuhudia misiba ya viongozi wakubwa hivi karibuni, lakini kama desturi na taratibu zetu tumezoea Rais kuhudhuria mazishi pale kiongozi mkubwa anapo fariki.

Alifariki mmbunge wa songea, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa manyara Ndugu Bendera, Kuna jamaa alikuwa anakaa pembeni Rais akiapisha viongozi nk

Lakini katika misiba hii kama tulivyo zoea kuona Marais Wastaafu kuhudhuria mazishi hata ya mkuu wa wilaya imekuwa tofaiti kwa Rais Magufuli.

Je tusiishi kwa mazoea, au sio lazima Rais kufanya hivyo?
Kuthamini sana misiba ni culture ambayo wanadamu tumejiwekea kutokana na kumuasi Mungu na hatimaye kutojua maana ya kuwepo kwetu hapa duniani.We think there is no life after death.Tumefika mahali sasa hata hatujui kwa nini tuko duniani na maana halisi ya kifo.Ndio maana tunahangaika na kuhuzunika sana mtu akifa.The opposite should however be true.Si ajabu kwa hiyo kwamba Bwana Yesu amwambia Petro katika Luka 9:60"waache watu wazike watu wao,Bali wewe nenda kautangaze ufalme wa Mungu," na Mtume Paulo naye akasema,katika Wafilipi1:23-24,"Ninasongwa katikati ya mambo mawili;natamani kwenda zangu nikae na Kristo,maana ni vizuri zaidi sana.24 Bali kudumu katika katika mwili kwa hitajika zaidi kwa ajili yenu." So you see Jesus Christ and Paulo understood their purpose of being in this world and the purpose of death.Sisi hatuelewi,maana ya kifo na kuwepo kwetu hapa duniani ndio maana tunateseka sana when our beloved dies.Mungu atusaidie tufahamu ili tuweze kufanya maamuzi sahihi na ya busara kunapotokea msiba.
 
Huyu jamaa ni masharti aliyopewa na sir chande kabla hajakufwa, so kutengua hayo masharti wakati aliyempa ashadanja ni lukitafutia kifo
 
Back
Top Bottom