General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,300
- 23,022
Tumeshuhudia misiba ya viongozi wakubwa hivi karibuni, lakini kama desturi na taratibu zetu tumezoea Rais kuhudhuria mazishi pale kiongozi mkubwa anapo fariki.
Alifariki mmbunge wa songea, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa manyara Ndugu Bendera, Kuna jamaa alikuwa anakaa pembeni Rais akiapisha viongozi nk
Lakini katika misiba hii kama tulivyo zoea kuona Marais Wastaafu kuhudhuria mazishi hata ya mkuu wa wilaya imekuwa tofaiti kwa Rais Magufuli.
Je tusiishi kwa mazoea, au sio lazima Rais kufanya hivyo?