Kwanini rais Magufuli anakosea?

aminiusiamini

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
3,577
2,221
WanaJamii,

Kwanza tumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kutuwezesha siku hii mpya.

Napenda kutoa rai yangu juu ya maamuzi na ukurupukaji wa uongozi wa Magufuli japo kwa muda mfupi tu wa miezi michache naweza kusema kuwa, Magufuli anaweza kuwa na nia njema sana juu ya nchi yetu baada ya Nyerere, lakini maamuzi yake lazima yawe na tija, fikra ,maono na dira.

Kiongozi yoyote anapaswa kutofanya jambo kwa muhemko au hisia na visasi.Hata kama kuna ukweli katika jambo fulani, kama kiongozi busara ni jambo jema.Mimi kama mnavyofahamu sijawahi kuwa shabiki wa rais mstaafu Kikwete kutokana na madudu mengi, lakini huyu mzee busara tu anayo.

Nimesoma habari hapa, kuwa serikali inawaambia wananchi waseme na kutoa taarifa juu ya mtu aliyepata mali kifisadi?Nimejiuliza huu ni upuuzi gani? Kazi ya vyombo vya usalama, TAKUKURU iko wapi?

Mpaka huyo mtu anapata au kujikusanyia mali kwa njia sivyo halali wao TAKURURU na wengine wote lazima waseme kazi yao ni ipi kusubri mwananchi kutoa hisia zao na sio ukweli wa mambo, mwishowe ni kupotezeana muda, kupakana matope na kujengeana chuki ambayo itasababisha maauaji nk.

Niseme tu, kwa mfano, mtoto wa rais Kikwete anasemekana ni mtu mwenye mali nyingi sana.Haya yote tunasikia, hatufahamu kuwa ni ya kweli au lah.Sidhani kama mimi mtanznia kumchukia mtoto wa rais na watoto wengine wa wakubwa, itakuwa ni sahihi na kama mali alipata isivyo halali, serikali ilikuwa wapi na je watamwacha sababu ni mtoto wa rais mstaafu je vipi wengine, kwani sio watanzania?

Magufuli anataka kutuletea ubaguzi na chuki kwenye jammi zetu za changa sana na ndogo badala ya kufanya mambo kwa upeo wa mapana marefu.Mimi nitafurahi kama Chenge akitolewa uwenyektii wa bunge na kueleza wapi zile visenti alipata wapi na kaweka wapi? Na wale watu wa ESCROW, IPTL , DOWANS na scandals nyingi sana wakifikishwa mahakamani na sio kuhangaika na vidaaga.

Nilishawahi kusema kama Magufuli ni mwanaume kweli, amkamate, Kikwete, Kinana na wengine ndani ya chama chake ambao tuhuma zinajulikana, nakama anataka sisi wananchi kuanza kutoa habari? Basi habari ndio hio hapo juu, kawakamate CCM.

Kuna sababu nyingi Magufuli hawezi kurudi Ikulu kwa miongo mingine mitano kutokana na udhaifu na visasi.Hakuna aliyemwema mbele za Mungu wewe ni nani kulipa visasi?

(Naomba saana mkumbuke maneno yangu baada ya miaka mitano)
 
Dunia haiishi maajabu, leo Kikwete anabainishwa kuwa mtu wa busara, yuleyule aliesemekana kuwa na kichwa cha nazi!!!???
 
WanaJamii,

Kwanza tumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kutuwezesha siku hii mpya.

Napenda kutoa rai yangu juu ya maamuzi,na ukurupukaji wa uongozi wa magufuli japo kwa muda mfupi tu wa miezi michache,naweza kusema kuwa,magufuli anaweza kuwa na nia njema sana juu ya nchi yetu baada ya Nyerere,lakini maamuzi yake lazima yawe na tija,fikra,maono,na dira.Kiongozi yoyote anapaswa kutofanya jambo kwa muhemko au hisia na visasi.Hata kama kuna ukweli katika jambo fulani,kama kiongozi busara ni jambo jema.Mimi kama mnavyofahamu sijawahi kuwa shabiki wa raisi mstaafu kikwete kutokana na madudu mengi,lakini huyu mzee busara tu,anayo.
Nimesoma habari hapa,kuwa serikali inawaambia wananchi waseme na kutoa taarifa juu ya mtu aliyepata mali kifisadi?Nimejiuliza huu ni upuuzi gani? kazi ya vyombo vya usalama,takururu iko wapi?
Mpaka huyo mtu anapata au kujikusanyia mali kwa njia sivyo halali wao TAKURURU na wengine wote lazima waseme kazi yao ni ipi kusubri mwananchi kutoa hisia zao na sio ukweli wa mambo,mwishowe ni kupotezeana muda,kupakana matope,na kujengeana chuki ambayo itasababisha maauaji nk.

Niseme tu,kwa mfano,mtoto wa raisi kikwete anasemekana ni mtu mwenye mali nyingi sana.Haya yote tunasikia,hatufahamu kuwa ni ya kweli au lah.Sidhani kama mimi mtanznia kumchukia mtoto wa raisi na watoto wengine wa wakubwa,itakuwa ni sahihi na kama mali alipata isivyo halali,serikali ilikuwa wapi na je watamwacha sababu ni mtoto wa raisi mstaafu je vipi wengine,kwani sio watanzania?
Magufuli anataka kutuletea ubaguzi na chuki kwenye jammi zetu za changa sana na ndogo badala ya kufanya mambo kwa upeo wa mapana marefu.Mimi nitafurahi kama CHENGE akitolewa uwenyektii wa bunge na kueleza wapi zile visenti alipata wapi na kaweka wapi?
na wale watu wa ESCROW,IPTL ,DOWANS na scandals nyingi sana wakifikishwa mahakamani na sio kuhangaika na vidaaga.
Nilishawahi kusema kama magufuli ni mwanaume kweli,amkamate,kikwete,Kinana,na wengine ndani ya chama chake ambao tuhuma zinajulikana,nakama anataka sisi wananchi kuanza kutoa habari?basi habari ndio hio hapo juu,kawakamate maccm.

Kuna sababu nyingi Magufuli hawezi kurudi ikulu kwa miongo mingine mitano kutokana na udhaifu na visasi.Hakuna aliyemwema mbele za Mungu wewe ni nani kulipa visasi?
(naomba saana mkumbuke maneno yangu baada ya miaka mitano )
tayari yale niliyosema kwamba serikali hii itaitwa serikali ya KUKURUPUKA yameishaanza
 
Siku mia za jpm,mazur yapo na mabaya yapo net gain ni zero.SERIKALI IMEJAA WAKURUPUKAJI,BOMOABOMOA,WAPI USAFI KILA JUMAMOSI,WAPI MARUFUKU KUSIMAMA KWENYE DALADALA,WAPI BUNGE LIVE,WAPI WALIOKWEPA KULIPA USHURU WA MAKONTENA BANDARIN,MENGINE MALIZIA....
 
Wewe ni jipu nini? tulia utumbuliwe acha kuiondoa reli ktk njia yake! Unampamba Kikwete kwa kuwa alikuwa anaawacha mnapeta? Saa ya ukombozi imefika TULIA UTUMBULIWE
 
majipu mtaendelea kuumbuka mwaka huu...watanzania tunajua magu anafanya nini na tunaridhika na kazi yake...
 
WanaJamii,

Kwanza tumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kutuwezesha siku hii mpya.

Napenda kutoa rai yangu juu ya maamuzi na ukurupukaji wa uongozi wa Magufuli japo kwa muda mfupi tu wa miezi michache naweza kusema kuwa, Magufuli anaweza kuwa na nia njema sana juu ya nchi yetu baada ya Nyerere, lakini maamuzi yake lazima yawe na tija, fikra ,maono na dira.

Kiongozi yoyote anapaswa kutofanya jambo kwa muhemko au hisia na visasi.Hata kama kuna ukweli katika jambo fulani, kama kiongozi busara ni jambo jema.Mimi kama mnavyofahamu sijawahi kuwa shabiki wa rais mstaafu Kikwete kutokana na madudu mengi, lakini huyu mzee busara tu anayo.

Nimesoma habari hapa, kuwa serikali inawaambia wananchi waseme na kutoa taarifa juu ya mtu aliyepata mali kifisadi?Nimejiuliza huu ni upuuzi gani? Kazi ya vyombo vya usalama, TAKUKURU iko wapi?

Mpaka huyo mtu anapata au kujikusanyia mali kwa njia sivyo halali wao TAKURURU na wengine wote lazima waseme kazi yao ni ipi kusubri mwananchi kutoa hisia zao na sio ukweli wa mambo, mwishowe ni kupotezeana muda, kupakana matope na kujengeana chuki ambayo itasababisha maauaji nk.

Niseme tu, kwa mfano, mtoto wa rais Kikwete anasemekana ni mtu mwenye mali nyingi sana.Haya yote tunasikia, hatufahamu kuwa ni ya kweli au lah.Sidhani kama mimi mtanznia kumchukia mtoto wa rais na watoto wengine wa wakubwa, itakuwa ni sahihi na kama mali alipata isivyo halali, serikali ilikuwa wapi na je watamwacha sababu ni mtoto wa rais mstaafu je vipi wengine, kwani sio watanzania?

Magufuli anataka kutuletea ubaguzi na chuki kwenye jammi zetu za changa sana na ndogo badala ya kufanya mambo kwa upeo wa mapana marefu.Mimi nitafurahi kama Chenge akitolewa uwenyektii wa bunge na kueleza wapi zile visenti alipata wapi na kaweka wapi? Na wale watu wa ESCROW, IPTL , DOWANS na scandals nyingi sana wakifikishwa mahakamani na sio kuhangaika na vidaaga.

Nilishawahi kusema kama Magufuli ni mwanaume kweli, amkamate, Kikwete, Kinana na wengine ndani ya chama chake ambao tuhuma zinajulikana, nakama anataka sisi wananchi kuanza kutoa habari? Basi habari ndio hio hapo juu, kawakamate CCM.

Kuna sababu nyingi Magufuli hawezi kurudi Ikulu kwa miongo mingine mitano kutokana na udhaifu na visasi.Hakuna aliyemwema mbele za Mungu wewe ni nani kulipa visasi?

(Naomba saana mkumbuke maneno yangu baada ya miaka mitano)
Watanzaniaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
well sai

well said mkuu ...
 
Back
Top Bottom