Kwanini Rais Asiwawajibishe Viongozi Hawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Rais Asiwawajibishe Viongozi Hawa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kichankuli, Aug 23, 2010.

 1. Kichankuli

  Kichankuli JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2010
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 857
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Katika hutoba yake ya kampeni za uchaguzi kwa Wananchi wa Wilaya ya Misungwi, Rais JK amenukuliwa na Gazeti la Nipashe Jumatatu 23 Agosti 2010 akisema kwamba;

  "Kadhalika, aliwataka wananchi kuwa makini na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi wanaotafuna fedha kama mchwa.
  "

  Swali langu ni kwamba iwapo Rais anafahamu na amekiri hadharani uwepo wa tatizo hilo kwa Viongozi wa Halmashauri ya Misungwi kuna haja gani ya yeye kuwaeleza wananchi wa Misungwi badala ya kuelekeza vyombo vinavyohusika kuchukua hatua zinazostahili?. Ninavyofahamu mimi kauli ya Rais ina uzito wa kipekee, kwa hiyo mpaka afikie kutamka hadharani ni wazi kwamba ushahidi makini anao tayari.

  Kwa habari kamili tembelea:
  http://www.ippmedia.com/Rais Kikwete:nahitaji kura za wafanyakazi   
 2. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2014
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Je bado TZ kuna rais? au rahisi?? lazma atukubali ukweli mchungu, lakni si ndo taswira ya yetu kama nchi?? rais dahifu alifikaje ikulu? rais haibi kura wala hatangazi matokeo, inakuwaje kilaza akae ikulu 10 yrs
   
 3. KIRANGWA

  KIRANGWA JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2014
  Joined: Sep 21, 2013
  Messages: 206
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani msimlazimishe kufanya asivyoviweza maana kwa kauli kama hii aliyoitoa anawashtaki viongozi hao kwa wananchi ndo wawawajibishe {YEYE HAWEZI}.

  2015 naomba tujitahidi tuchague raisi anayeweza kuwajibisha mafisadi. // huyu tumwache amalizie hisa zake asepe
   
 4. M

  MTK JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2014
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Hata yule kinara wa ujangili yuko pale Arusha anamjua! Wauza mihadarati ana majina yao! Mwenye Dowans hamjui?! Escrow ni upepo tu utapita!
   
Loading...