Kwanini Rais anayeongoza watu milioni 1 awe na madaraka kuliko Mkuu wa Mkoa wenye watu milioni nne?

Nyie vibaraka wa Bashite Zero Brain leo hii mnataka bashite awe na madaraka kama ya Rais?
 
Hapa najaribu kulinganisha kati ya mkuu wa mkoa wa Dar (yeyote anayekalia kiti hicho) na Rais wa Zanzibar.

Je, kwanini protocol za kichama na kiserikali zinampa heshima ya juu zaidi Rais wa watu milioni moja badala ya mkuu wa mkoa mwenye watu milioni nne?

Kikatiba na Kidemokrasia hili liko sawa?

Tujadili...
======================================================
UPDATE:
Naona watu wanatoka povu humu. Ingawa mtu unaweza kuwa unajua mambo mengi, ila huwezi kuwa unajua kila kitu... Kujifanya unajua kila kitu wakati hujui, ni uzumbukuku, ndio maana kwa hili nimejaribu kulitafakari sikupata majibu ila nikadhani kwa kuwa JF tuna uelewa tofauti, ninaweza kupata mawazo mbadala...
Wewe naye ndio yale yale Makinikia. Hakika Vita dhidi ya dawa za kulevya haijawahi kumuacha mtu salama
 
Back
Top Bottom