Kwanini Rais anataka matajiri waishi kama mashetani?

DiasporaUSA

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
23,381
29,627
NATAFUTA SABABU ZA KWANINI JPM ANATAKA MATAJIRI WAISHI KAMA MASHETANI.

Rais anatamani sana kuona maskini walio wengi wanaishi kama matajiri na wale Matajiri waishi kama maskini.

Hii ina maana hata wale waliowekeza juhudi,Nguvu na hata maarifa yao kujiajiri ni lazima wajengewe mazingira ya kufirisika wawe wanataka au hawataki ili tu waweze kuishi maisha wanayoishi watanzania wengine.

Hali kama anayoitaka ilikuwepo kipindi cha zama za mawe za kati hata kabla moto haujagunduliwa, Naona kuna kila jitihada za zama hizo kujirudia kwenye kizazi cha teknolojia ya habari na mawasiliano.

Kwanini matajiri wakosolewe kiasi hicho? Kuna kosa gani matajiri wamelifanyia taifa mpaka waundiwe zengwe la kufirisika? Kama watafirisika mpaka sumuni ya mwisho Tanzania itafaidika na nini?

Hivi mheshimiwa rais anajua ni kwa kiasi gani hawa matajiri au Mabepari wanaendesha uchumi wa nchi?. Unapozungumzia matajiri wakubwa (Capitalists) unazungumzia watu ambao wanatumia vipaji vya watu na hata muda wa watu ili kutengeneza ukwasi wa kutosha.

Na siku zote hawa ndio wenye uwezo wa kutikisa uchumi wa Tanzania na hata uchumi wa nchi zinazotuzunguka unaweza kuathirika pia. Ni hawa hawa matajiri ambao wanatoa financial facilities zinazotengeza ajira za kutosha, Zinazozalisha biashara za watu na hata wawekezaji wengine hua wanatokana na hawa matajiri.

Watu wengi wanakua impacted na uchumi wa mabepari na hivyo kupelekea uchumi wa mtu mmoja mmoja (Microeconomics) na hata uchumi mkubwa wa taifa(Macroeconomics) kuinuka.

JPM hawataki Matajiri pasi na kujua kwamba hawa ndio wanaosababisha kutengenezwa kwa idadi kubwa ya matajiri na hata kuinua ustawi wa watu.

Umaskini sio sifa wala sio cheo cha kusema utasimama hadharani na kujisifia. Miongoni mwa maadui ambao Baba wa Taifa Mwl Julius K Nyerere aliwakemea kwa nguvu zote ni huu Umaskini lakini miaka zaidi ya 50 bado kuna mtu anasimama hadharani na kutaka watu waishi kimaskini.

Mheshiwa atambue kwamba ulimwengu mzima tunaishi na uchumi unaotegemeana (Interdependent economy). Tafsiri yake ni kwamba ili yule mtu maskini aondokane na umaskini wake ni lazima watu wenye kipato kikubwa zaidi yake wawepo ili kumuinua nae aishi kama wao.

Sasa kama Mheshimiwa anatamani matajiri waishi kimaskini ni nani atawainua hawa maskini ambao yeye anataka waishi kitajiri?.

Bado natafuta sababu za kwanini Mheshimiwa anachukizwa na uwepo wa matajiri.
 
Anataka ngamia aweze kupita kwenye tundu la sindano ili matajiri nao waweze kuuona ufalme wa mbinguni.
Tanzania, kila kitu kinawezekana.
 
Hawachukii ila anacheza na akili za watanzania matajiri kuishi kama mashetani haiwezekani ila masikini ndio tunaoishi kama mashetani
NATAFUTA SABABU ZA KWANINI JPM ANATAKA MATAJIRI WAISHI KAMA MASHETANI.

Raisi anatamani sana kuona maskini walio wengi wanaishi kama matajiri na wale Matajiri waishi kama maskini. Hii ina maana hata wale waliowekeza juhudi,Nguvu na hata maarifa yao kujiajiri ni lazima wajengewe mazingira ya kufirisika wawe wanataka au hawataki ili tu waweze kuishi maisha wanayoishi watanzania wengine. Hali kama anayoitaka ilikuwepo kipindi cha zama za mawe za kati hata kabla moto haujagunduliwa, Naona kuna kila jitihada za zama hizo kujirudia kwenye kizazi cha teknolojia ya habari na mawasiliano. Kwanini matajiri wakosolewe kiasi hicho? Kuna kosa gani matajiri wamelifanyia taifa mpaka waundiwe zengwe la kufirisika? Kama watafirisika mpaka sumuni ya mwisho Tanzania itafaidika na nini? Hivi mheshimiwa raisi anajua ni kwa kiasi gani hawa matajiri au Mabepari wanaendesha uchumi wa nchi?. Unapozungumzia matajiri wakubwa (Capitalists) unazungumzia watu ambao wanatumia vipaji vya watu na hata muda wa watu ili kutengeneza ukwasi wa kutosha. Na siku zote hawa ndio wenye uwezo wa kutikisa uchumi wa Tanzania na hata uchumi wa nchi zinazotuzunguka unaweza kuathirika pia. Ni hawa hawa matajiri ambao wanatoa financial facilities zinazotengeza ajira za kutosha, Zinazozalisha biashara za watu na hata wawekezaji wengine hua wanatokana na hawa matajiri. Watu wengi wanakua impacted na uchumi wa mabepari na hivyo kupelekea uchumi wa mtu mmoja mmoja (Microeconomics) na hata uchumi mkubwa wa taifa(Macroeconomics) kuinuka.JPM hawataki Matajiri pasi na kujua kwamba hawa ndio wanaosababisha kutengenezwa kwa idadi kubwa ya matajiri na hata kuinua ustawi wa watu. Umaskini sio sifa wala sio cheo cha kusema utasimama hadharani na kujisifia. Miongoni mwa maadui ambao Baba wa Taifa Mwl Julius K Nyerere aliwakemea kwa nguvu zote ni huu Umaskini lakini miaka zaidi ya 50 bado kuna mtu anasimama hadharani na kutaka watu waishi kimaskini. Mheshiwa atambue kwamba ulimwengu mzima tunaishi na uchumi unaotegemeana (Interdependent economy). Tafsiri yake ni kwamba ili yule mtu maskini aondokane na umaskini wake ni lazima watu wenye kipato kikubwa zaidi yake wawepo ili kumuinua nae aishi kama wao. Sasa kama Mheshimiwa anatamani matajiri waishi kimaskini ni nani atawainua hawa maskini ambao yeye anataka waishi kitajiri? . Bado natafuta sababu za kwanini Mheshimiwa anachukizwa na uwepo wa matajiri.
 
Ungeonyesha anawachukia matajiri gani labda ingeweza kuingia Akilini. Mi naona anapenda matajiri waliopata m,ali zao kihalali. Wale ambao hawakupata kihalali hawachukii bali hawakumbatii kama walivyozoea!
 
Alishasema "hajaribiwi" na matajiri ndio majaribu nambari one.
 
NATAFUTA SABABU ZA KWANINI JPM ANATAKA MATAJIRI WAISHI KAMA MASHETANI.

Rais anatamani sana kuona maskini walio wengi wanaishi kama matajiri na wale Matajiri waishi kama maskini.

Hii ina maana hata wale waliowekeza juhudi,Nguvu na hata maarifa yao kujiajiri ni lazima wajengewe mazingira ya kufirisika wawe wanataka au hawataki ili tu waweze kuishi maisha wanayoishi watanzania wengine.

Hali kama anayoitaka ilikuwepo kipindi cha zama za mawe za kati hata kabla moto haujagunduliwa, Naona kuna kila jitihada za zama hizo kujirudia kwenye kizazi cha teknolojia ya habari na mawasiliano.

Kwanini matajiri wakosolewe kiasi hicho? Kuna kosa gani matajiri wamelifanyia taifa mpaka waundiwe zengwe la kufirisika? Kama watafirisika mpaka sumuni ya mwisho Tanzania itafaidika na nini?

Hivi mheshimiwa rais anajua ni kwa kiasi gani hawa matajiri au Mabepari wanaendesha uchumi wa nchi?. Unapozungumzia matajiri wakubwa (Capitalists) unazungumzia watu ambao wanatumia vipaji vya watu na hata muda wa watu ili kutengeneza ukwasi wa kutosha.

Na siku zote hawa ndio wenye uwezo wa kutikisa uchumi wa Tanzania na hata uchumi wa nchi zinazotuzunguka unaweza kuathirika pia. Ni hawa hawa matajiri ambao wanatoa financial facilities zinazotengeza ajira za kutosha, Zinazozalisha biashara za watu na hata wawekezaji wengine hua wanatokana na hawa matajiri.

Watu wengi wanakua impacted na uchumi wa mabepari na hivyo kupelekea uchumi wa mtu mmoja mmoja (Microeconomics) na hata uchumi mkubwa wa taifa(Macroeconomics) kuinuka.

JPM hawataki Matajiri pasi na kujua kwamba hawa ndio wanaosababisha kutengenezwa kwa idadi kubwa ya matajiri na hata kuinua ustawi wa watu.

Umaskini sio sifa wala sio cheo cha kusema utasimama hadharani na kujisifia. Miongoni mwa maadui ambao Baba wa Taifa Mwl Julius K Nyerere aliwakemea kwa nguvu zote ni huu Umaskini lakini miaka zaidi ya 50 bado kuna mtu anasimama hadharani na kutaka watu waishi kimaskini.

Mheshiwa atambue kwamba ulimwengu mzima tunaishi na uchumi unaotegemeana (Interdependent economy). Tafsiri yake ni kwamba ili yule mtu maskini aondokane na umaskini wake ni lazima watu wenye kipato kikubwa zaidi yake wawepo ili kumuinua nae aishi kama wao.

Sasa kama Mheshimiwa anatamani matajiri waishi kimaskini ni nani atawainua hawa maskini ambao yeye anataka waishi kitajiri?.

Bado natafuta sababu za kwanini Mheshimiwa anachukizwa na uwepo wa matajiri.

Kwa kawaida mtu aliyepata pesa ukubwani tena kwa njia zisizo halali mara nyingi hataki hata kusikia wengine wakipata.
 
Maskini duniani ni shetani tu na ndio maana ana roho mbaya.
 
Back
Top Bottom