Kwenye mtandao ya kijamii na kwenye vijiwe na baadhi ya wanasiasa aswa wabunge wote kwa pamoja wamekuwa wakimtaka rais magufuli aende ulaya kwenye mikutano ya kimataifa lakini cha ajabu ambacho Mimi sielew.
Kwanini sauti na midahalo hiyo haipazi sauti kumtaka rais aende MAJIMBONI kwao wakmuonyeshe shida za wapiga kura wao na wananchi kwa ujumla shida zinazowapata wananchi ili akazitafutie majibu ya kudumu,
Kipi ni cha muhimu kwa.masikini wa kitanzania rais wao kwenda ulaya au rais wao kwenda KUONA shida zao?
Je Watanzania tunajua kipi chenye faida ya moja kwa moja kwetu? Ni lini fikra za kitumwa tutaondokana nazo aswa sisi Waafrika?