Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 4,653
- 4,157
KWANINI PROFESSOR JAY HAKUIMBA NDIO MZEE?
Hivi karibuni Professor Jay alikuwa na ugeni mkubwa, lakini alipopewa nafasi ya kuchana mistari, kinyume na matarajio yangu, akaanza kuvungavunga na 'HAPO VIPI? ... HAPO SAWA!'
HIVI KWANINI PROFESSOR JAY HAKUCHANA MISTARI YA WIMBO ULIOMTOA ZAIDI WA 'NDIO MZEE'?
HEBU TUJIKUMBUSHE....
HAYA BWANA!
NB: SUGU ANASEMA ANA'... GO MBEYA' (GOING TO MBEYA?)