Kwanini professor Jay hakuimba ndio mzee mbele ya Rais Magufuli?

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
4,620
4,116
KWANINI PROFESSOR JAY HAKUIMBA NDIO MZEE?

Hivi karibuni Professor Jay alikuwa na ugeni mkubwa, lakini alipopewa nafasi ya kuchana mistari, kinyume na matarajio yangu, akaanza kuvungavunga na 'HAPO VIPI? ... HAPO SAWA!'
HIVI KWANINI PROFESSOR JAY HAKUCHANA MISTARI YA WIMBO ULIOMTOA ZAIDI WA 'NDIO MZEE'?
HEBU TUJIKUMBUSHE....

HAYA BWANA!
upload_2018-3-24_2-48-57-jpeg.723635

NB: SUGU ANASEMA ANA'... GO MBEYA' (GOING TO MBEYA?)
 
kwanini husem angeimba zali la "mentari' au msinitenge au nang'atuka?

kupanga ni kuchagua kwa mujibu wa jiwe.
 
KWANINI PROFESSOR JAY HAKUIMBA NDIO MZEE?

Hivi karibuni Professor Jay alikuwa na ugeni mkubwa, lakini alipopewa nafasi ya kuchana mistari, kinyume na matarajio yangu, akaanza kuvungavunga na 'HAPO VIPI? ... HAPO SAWA!'
HIVI KWANINI PROFESSOR JAY HAKUCHANA MISTARI YA WIMBO ULIOMTOA ZAIDI WA 'NDIO MZEE'?
HEBU TUJIKUMBUSHE....

HAYA BWANA!
upload_2018-3-24_2-48-57-jpeg.723635

NB: SUGU ANASEMA ANA'... GO MBEYA' (GOING TO MBEYA?)

Ujinga wa aina hii ni vigumu sana kuvumilika, kwamba na hili unataka tulijadili kweli? Acha utoto dogo hivi bado hamjafungua shule?
 
Hahahahaha jf bana raha sana mkuu stress za hela nini?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom