chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 11,958
- 20,528
Hawa watu walikuwa wapiga debe wakubwa wa JPM 2015, waliandika makala za kumsifu na kumjenga kisiasa.
Lakini naona siku za karibuni wameanza kuonyesha upinzani mkubwa sana kwa Rais wetu mpendwa.
Buberwa Kaiza katika kurasa zake za mitandao ya kijamii, anafanya ukosoaji mkubwa japo anajaribu kujifichaficha
Prince Bagenda yeye alifikia kutunga kitabu,japo kabla hajakiachia, vyombo vyetu pendwa vya usalama vikampa angalizo
Je, watu hawa wana uroho wa madaraka walidhani kwa kuandika vipeperushi tu wangepata uteuzi? Watanzania tumekuwaje? Kila kitu ukifanya mpaka upate kitu?
Viva JPM
#matege