Kwanini Polisi hawapewi kazi za utendaji kama Wanajeshi

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,596
8,736
Kitu kinanishangaza kwanini Polisi hasa wastaafu hawahusiswi sana na shughuli za kisiasa kama wastaafu wanajeshi. Wanajeshi wanachaguliwa kama mabalozi, wakuu wa mikoa na kwenye bodi tofauti lakini polisi ni wachache. Polisi wana uzoefu mkubwa sana na wananchi lakini nashangaa kuona hawatumiki.
 
Kwenye maadili marks ni mbovu sana
 
Back
Top Bottom