Kwanini Polepole anafaa kuwa mkuu wa Mkoa wa DSM

Muda si mrefu uliopita baada ya POLE POLE Kuteuliwa UDC mlianza kelele zenu kuhusiana na yeye kukanyaga maoni ya Warioba mkisema alipinga nafasi ya UDC iweje Leo akubali uteuzi?
Sasa na amini lengo lenu ni kumuangusha MAKONDA na si kwamba Pole pole anafaa kwa nafasi ya RC dar.
Kifupi nyinyi ni wa kuogopwa kama ukoma.
 
Back
Top Bottom