Kwanini pesa za escrow ziliruhusiwa kutoka bank kuu

agata edward

JF-Expert Member
Nov 25, 2014
6,641
9,392
Kuna umuhimu wakujiuliza why bank kuu iliruhusu pesa kutoka na kuingizwa ukombozi na stanbic?
 
Kuna umuhimu wakujiuliza why bank kuu iliruhusu pesa kutoka na kuingizwa ukombozi na stanbic?

Maswali mengine ya kujiuliza "1) hayo mabilioni ya cash yaliyotolewa Stanbic na Mkombozi Benki yako wapi? 2) kama yako mitaani madhara yake katika uchumi ni yapi?"
 
Back
Top Bottom