Kwanini Paul Makonda anachukiwa na watanzania wengi?

Ibrahim augustine

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
397
500
Habari wakuu!!
Nimekua nikijiuliza sana hili swali na kukosa majibu!
Binafsi mm sio MTU wa kufata mkumbo bila sababu,ukichunguza asilimia kubwa ya watu wanao mchukia makonda hawana sababu ya msingi!!
==>Paul makonda amefanya mambo makubwa sana,
Amesaidia wakina mama wajane,Daresalaam kabla ya makonda walijaa wahuni na wauza madawa ya kulevya but now baada ya msako mkali chini ya makonda jiji limetulia,

=>Amesadia watu wengi hasa walemavu
Infact jamaa ana upendo wadhati kwa watanzania lakini kila anacho Fanya anaonekana hakuna kitu mbele ya watu

Yapo mengi sana yakueleza tena mazuri kwa mh Paul makonda kama kuna mabaya na yeye ni binadamu,pia

Wito wangu kwa wa Tanzania

Watanzania tuache chuki zisizo kua na msingi kama amekosa nafasi ya ubunge its OK muache akafanye mambo mengine.

Unakuta lijitu linakereketwa na MTU asiye kua na hatia watanzania tuache kufuata mikumbo,

#povuruksa
 
ushuzi.1

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,500
2,000
Haki na ukweli

Nasikia alikwepa kulipa kodi!
Nasikia alivamia clouds usiku kushinikiza mambo!
Nasikia aliacha ukuu wa mkoa ili akagombee ubunge
.
.
.
Machinjio ya vingunguti hela ilitolewa yote lakini mpaka sasa haijakamilika.
Alipiga pesa kwenye zoezi la dawa kunyunyuzia mtaani kuzuia corona wakajaza maji na dawa kidogo pesa zote wakala juu kwa juu
 
Kitwa-Mulomoni

JF-Expert Member
Oct 25, 2016
1,280
2,000
Habari wakuu!!
Nimekua nikijiuliza sana hili swali na kukosa majibu!
Binafsi mm sio MTU wa kufata mkumbo bila sababu,ukichunguza asilimia kubwa ya watu wanao mchukia makonda hawana sababu ya msingi!!
==>Paul makonda amefanya mambo makubwa sana,
Amesaidia wakina mama wajane,Daresalaam kabla ya makonda walijaa wahuni na wauza madawa ya kulevya but now baada ya msako mkali chini ya makonda jiji limetulia,

=>Amesadia watu wengi hasa walemavu
Infact jamaa ana upendo wadhati kwa watanzania lakini kila anacho Fanya anaonekana hakuna kitu mbele ya watu

Yapo mengi sana yakueleza tena mazuri kwa mh Paul makonda kama kuna mabaya na yeye ni binadamu,pia

Wito wangu kwa wa Tanzania

Watanzania tuache chuki zisizo kua na msingi kama amekosa nafasi ya ubunge its OK muache akafanye mambo mengine.

Unakuta lijitu linakereketwa na MTU asiye kua na hatia watanzania tuache kufuata mikumbo,

#povuruksa
Wanao mchukia Makonda sio wengi ukilinganisha na wanaompenda. Kwanza, wachache hao wanaomchukia, wanatumia muda wao mwingi kwenye mitandao! Wanaompenda wengi hawana muda au wengine uwezo wakuwa na muda wote mitandaoni hawana.
Pili, wanaomchukia hao wachache, maadili yao hayakuwa mazuri kabla ya Makonda kutawala jiji (ndio hao walikuwa wanajishughulisha na madawa ya kulevya na biashara yake) - walikuwa wanatakatisha hela (utakatishaji uliobaki ni kulipa watu kuchafua jina la Makonda)!
Siyo watu wengi ila dying kick yao ina tengeneza mawimbi katika kumchukia Makonda.
 
wax

JF-Expert Member
Jun 14, 2015
4,440
2,000
Kujitangaza kwamba unakula raha ni makosa ?
Acha ujinga wewe ulisha sikia mengi bakresa MO dangote wanasema wanakula raha dunian kuliko wengine

Kwa hiyo anafurahi wengine wakiteseka yeye anakula raha??

Hivi Kuna ulazima mtu kujutangaza unakula raha Wakati Kuna mwenzako pemben anataabika halafu unataka kupendwa???

Pumbavu mkubwa wewe Matako nan akupende na tabia zako hizo za ovyo?????
 
Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
5,004
2,000
Tukiachana na tabia za majigambo za Paulo Makonda , watz wengi wana kasumba ya kuwachukia watu waliowazidi kimaisha.

Hata kweli familia za kibongoz wale waliopiga hatua kidogo huwa hawapendwi kutoka moyoni.
Ni chuki chuki na chuki
Kwani aliyefanikiwa ni Makonda pekee Tanzania? Mbona hawamchukii mtu kama Mo? Bashite ana nuksi
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
16,259
2,000
Wanao mchukia Makonda sio wengi ukilinganisha na wanaompenda. Kwanza, wachache hao wanaomchukia, wanatumia muda wao mwingi kwenye mitandao! Wanaompenda wengi hawana muda au wengine uwezo wakuwa na muda wote mitandaoni hawana.
Pili, wanaomchukia hao wachache, maadili yao hayakuwa mazuri kabla ya Makonda kutawala jiji (ndio hao walikuwa wanajishughulisha na madawa ya kulevya na biashara yake) - walikuwa wanatakatisha hela (utakatishaji uliobaki ni kulipa watu kuchafua jina la Makonda)!
Siyo watu wengi ila dying kick yao ina tengeneza mawimbi katika kumchukia Makonda.
Wanaomchukia ni wengi sana vita ya dawa haikuwa vita kweli ilikuwa blackmail kuwachafua mbowe, Gwajima kumfirisi Yusuph manji na wengineo wengi ambao aliwataja kwenye list makusudi apate kuwaibia mali zao kwa njia haramu na hata wale waliokamatwa na Unga alichukua Unga na kuwapatia Le mutuz kwenda kuuza china na South Africa wakampetea pesa cash, amekuwa akiwatishia wafanyabiashara wakubwa kuwaomba pesa kwa visingizio mbalimbali na wengi wakampa pesa nyingi kwa shingo upande anayo madhambi mengi ikiwemo kudai 10% kwenye miradi yote mikubwa inayojengea jiji Dsm na endapo unakataa hutishia kukwamisha mradi ama kukufukuza jiji Dsm, wapambe wake akina Le mutuz, cyprian Musiba na wengineo kwa mgongo wake wamepiga Blackmail nyingi sana, kibaya kuliko vyote ni kwenda Dodoma na magari mawili kumshambulia Tundu lisu kwa risasi kisha akaenda kulala morogoro kwa maganga wa kienyeji kabla ya kurejea hapo Dsm, FBI na CIA waliopo ubalozi wa marekani wana file lake lote wamekuwa wakimchunguza kwa siri mda mrefu ndiyo maana wamempiga marufuku kukanyaga America alipoficha pesa zake nyingi na wamezitaifisha tayari.
 
zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
996
1,000
hakuna tena amsha!!amsha!! kwakweli Makonda alikuwa kiongozi machachari na mkoa wa DSM unataka uwe machachari ili ufanikiwe kuendesha mkoa.
hakuna asiyejua huu ndio mkoa hatari kuliko yote nchini.....
binafsi nitamkumbuka sana Ndugu Makonda, ndio maaana nilikasirika sana alipo jiuzulu na kugombea ubunge, hata hivyo yote ni maisha....
ila watanzania punguzeni roho mbaya na majungu dah!
 
hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
38,445
2,000
Hachukiwi na watanzania tu pekee ... Hata wa marekani hawampendi

Kama hauamini kamuulize secretary pompeo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom