Kwanini Paul Makonda anachukiwa na watanzania wengi?

Ibrahim augustine

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
397
500
Habari wakuu!!
Nimekua nikijiuliza sana hili swali na kukosa majibu!
Binafsi mm sio MTU wa kufata mkumbo bila sababu,ukichunguza asilimia kubwa ya watu wanao mchukia makonda hawana sababu ya msingi!!
==>Paul makonda amefanya mambo makubwa sana,
Amesaidia wakina mama wajane,Daresalaam kabla ya makonda walijaa wahuni na wauza madawa ya kulevya but now baada ya msako mkali chini ya makonda jiji limetulia,

=>Amesadia watu wengi hasa walemavu
Infact jamaa ana upendo wadhati kwa watanzania lakini kila anacho Fanya anaonekana hakuna kitu mbele ya watu

Yapo mengi sana yakueleza tena mazuri kwa mh Paul makonda kama kuna mabaya na yeye ni binadamu,pia

Wito wangu kwa wa Tanzania

Watanzania tuache chuki zisizo kua na msingi kama amekosa nafasi ya ubunge its OK muache akafanye mambo mengine.

Unakuta lijitu linakereketwa na MTU asiye kua na hatia watanzania tuache kufuata mikumbo,

#povuruksa
 
nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
8,274
2,000

Eti povu ruksa!! Wewe ni wakike?
Binafsi huyo Makonda aliboa kwa kujivika umungu mtu, alidharau mamlaka kisa tu wanatoka upinzani, pili sielewi yeye ni Paul Makonda au Daud A Bashite?
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
37,531
2,000
Habari wakuu!!
Nimekua nikijiuliza sana hili swali na kukosa majibu!
Binafsi mm sio MTU wa kufata mkumbo bila sababu,ukichunguza asilimia kubwa ya watu wanao mchukia makonda hawana sababu ya msingi!!
==>Paul makonda amefanya mambo makubwa sana,
Amesaidia wakina mama wajane,Daresalaam kabla ya makonda walijaa wahuni na wauza madawa ya kulevya but now baada ya msako mkali chini ya makonda jiji limetulia,

=>Amesadia watu wengi hasa walemavu
Infact jamaa ana upendo wadhati kwa watanzania lakini kila anacho Fanya anaonekana hakuna kitu mbele ya watu

Yapo mengi sana yakueleza tena mazuri kwa mh Paul makonda kama kuna mabaya na yeye ni binadamu,pia

Wito wangu kwa wa Tanzania

Watanzania tuache chuki zisizo kua na msingi kama amekosa nafasi ya ubunge its OK muache akafanye mambo mengine.

Unakuta lijitu linakereketwa na MTU asiye kua na hatia watanzania tuache kufuata mikumbo,

#povuruksa
Ukiona unachukiwa sana na Watanzania wala usihangaike mno katika kutafuta ni kwanini bali jua ya kwamba sababu Kuu ni Upumbavu Uliotukuka.
 
Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
6,881
2,000
Mtoa mada kikwenu inaruhusiwa mtoto/kijana kumpiga kofi au ngwala mzee makamo ya babaako anayeweza kukuzaa?
Je ikitokea umempiga jamii inakutazama vipi?
Kuna methali husema "mdomo mbaya huua aumilikiye!!" Ukijituma kazi usiyotumwa utapata tabu sana...
Nitashukuru kwa majibu...
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
16,259
2,000
Habari wakuu!!
Nimekua nikijiuliza sana hili swali na kukosa majibu!
Binafsi mm sio MTU wa kufata mkumbo bila sababu,ukichunguza asilimia kubwa ya watu wanao mchukia makonda hawana sababu ya msingi!!
==>Paul makonda amefanya mambo makubwa sana,
Amesaidia wakina mama wajane,Daresalaam kabla ya makonda walijaa wahuni na wauza madawa ya kulevya but now baada ya msako mkali chini ya makonda jiji limetulia,

=>Amesadia watu wengi hasa walemavu
Infact jamaa ana upendo wadhati kwa watanzania lakini kila anacho Fanya anaonekana hakuna kitu mbele ya watu

Yapo mengi sana yakueleza tena mazuri kwa mh Paul makonda kama kuna mabaya na yeye ni binadamu,pia

Wito wangu kwa wa Tanzania

Watanzania tuache chuki zisizo kua na msingi kama amekosa nafasi ya ubunge its OK muache akafanye mambo mengine.

Unakuta lijitu linakereketwa na MTU asiye kua na hatia watanzania tuache kufuata mikumbo,

#povuruksa
Hayo mazuri yake ni machache kuliko mabaya aliyofanya mpaka kufikia ubalozi wa marekani kumpiga marufuku kukanyaga America
 
Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Nov 5, 2006
9,728
2,000
Wanaomfahamu kunenge mwambieni Asikubali sinema za Makonda za kukabidhi ofisini Kwa mikamera au kurekodi hata kama ataficha recorder kwenye suit

Akija na makamera wapige still picture watoke nje Alafu baadaye Mwandishi wa Mkuu wa mkoa ndio atoe briefing ya kilichotokea

Akikubali mikamera atamfanyia uhuni
 
ushuzi.1

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,500
2,000
Wewe ndio pumbavu kabsaa, hao wa madawa ya kulevya nani alifunguliwa mashitaka?? Wengi wao walichukuliwa kwa sababu zake mwenyewe Makonda. Zipo taasisi za kupambana na madawa ya kulevyaSio akurupuke mtu bila taaluma ya kuwanasa atangaze majina hadharani bila kufuata taratibu wa kisheria ni ushenzi wa hali ya juu kama hujui nyamaza!!!
Wengi aliwataja kwenye list ili kuwakomoa wakawachukulia mali zao pesa zao ni dhuluma na uonevu ulioje
 
Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
41,746
2,000
Ni kawaida sana...

Huwezi kupendwa na kila mtu wala kuchukiwa na kila mtu...

Ukiona unapendwa na kila mtu bila kuchukiwa hata na wachache ujue kuna matatizo...

Cc: mahondaw
 
Mafiningo

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
1,307
2,000
Kwa sababu anasimama katika haki, ukweli na uwazi pia anawajibika. Na ndio maana ukiangalia wanaomchukia wengi kwanza sio watu wanaojipambania napili hawaijui hata dar es salama ko MAKONDA NI BABA LAO.
Haki na ukweli

Nasikia alikwepa kulipa kodi!
Nasikia alivamia clouds usiku kushinikiza mambo!
Nasikia aliacha ukuu wa mkoa ili akagombee ubunge
.
.
.
Machinjio ya vingunguti hela ilitolewa yote lakini mpaka sasa haijakamilika.
 
Capitano

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
1,643
2,000
Hakuna amchukiaye mwingine bila sababu. Mengi yanayosimuliwa kuwa ni mazuri sana yaliyofanywa naye na wengine wengi kama yeye ni mapambio tu kwenye media lakini kiuhalisia mengi hayakufaulu na hata hivyo hakuwa na lengo ya kuyafanya hasa bali ni kupata umaarufu tu.Ingekuwa ana lengo na uwezo wa kuwaadabisha wanaume wanaowapiga wake zao, basi angeanza na Uchebe. Nini kilimsukuma kuwapatanisha badala ya kumpiga mtuusika virungu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom