Kwanini Paul Makonda anachukiwa na watanzania wengi?

Ibrahim augustine

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
397
500
Habari wakuu!!
Nimekua nikijiuliza sana hili swali na kukosa majibu!
Binafsi mm sio MTU wa kufata mkumbo bila sababu,ukichunguza asilimia kubwa ya watu wanao mchukia makonda hawana sababu ya msingi!!
==>Paul makonda amefanya mambo makubwa sana,
Amesaidia wakina mama wajane,Daresalaam kabla ya makonda walijaa wahuni na wauza madawa ya kulevya but now baada ya msako mkali chini ya makonda jiji limetulia,

=>Amesadia watu wengi hasa walemavu
Infact jamaa ana upendo wadhati kwa watanzania lakini kila anacho Fanya anaonekana hakuna kitu mbele ya watu

Yapo mengi sana yakueleza tena mazuri kwa mh Paul makonda kama kuna mabaya na yeye ni binadamu,pia

Wito wangu kwa wa Tanzania

Watanzania tuache chuki zisizo kua na msingi kama amekosa nafasi ya ubunge its OK muache akafanye mambo mengine.

Unakuta lijitu linakereketwa na MTU asiye kua na hatia watanzania tuache kufuata mikumbo,

#povuruksa
 
manenemane

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
270
250
Wewe ndio pumbavu kabsaa, hao wa madawa ya kulevya nani alifunguliwa mashitaka?? Wengi wao walichukuliwa kwa sababu zake mwenyewe Makonda. Zipo taasisi za kupambana na madawa ya kulevya
Habari wakuu!!
Nimekua nikijiuliza sana hili swali na kukosa majibu!
Binafsi mm sio MTU wa kufata mkumbo bila sababu,ukichunguza asilimia kubwa ya watu wanao mchukia makonda hawana sababu ya msingi!!
==>Paul makonda amefanya mambo makubwa sana,
Amesaidia wakina mama wajane,Daresalaam kabla ya makonda walijaa wahuni na wauza madawa ya kulevya but now baada ya msako mkali chini ya makonda jiji limetulia,

=>Amesadia watu wengi hasa walemavu
Infact jamaa ana upendo wadhati kwa watanzania lakini kila anacho Fanya anaonekana hakuna kitu mbele ya watu

Yapo mengi sana yakueleza tena mazuri kwa mh Paul makonda kama kuna mabaya na yeye ni binadamu,pia

Wito wangu kwa wa Tanzania

Watanzania tuache chuki zisizo kua na msingi kama amekosa nafasi ya ubunge its OK muache akafanye mambo mengine.

Unakuta lijitu linakereketwa na MTU asiye kua na hatia watanzania tuache kufuata mikumbo,

#povuruksa
Sio akurupuke mtu bila taaluma ya kuwanasa atangaze majina hadharani bila kufuata taratibu wa kisheria ni ushenzi wa hali ya juu kama hujui nyamaza!!!
 
mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
3,069
2,000
Vita dhidi ya Madawa ya Kulevya haijawahi kumwacha mtu Salama. Kijana alipammbana sana, sasa kinachotokea sasa ni nguvu ya Drug Deallers ili kumkomesha.
Lkn kumbuka USHOGA nao alipambana nao kwa kiasi kikubwa na hivi Vijana wengi hawana marinda au ni watatua marinda baaasi Bashite lazima aisome namba. Kuna wale waliotelekeza watoto, wazee wa Shisha wale matapeli wa Viwanja wote waliisoma namba kiaina wakati wake.
Lkn kuna wale fuata mkumbo na wale Mahasidi wa Kisiasa ambao mara zote hawapendi mtu aliyedhibiti nyendo zao ni janga kwake inabidi akae chonjo.
 
Kite Munganga

JF-Expert Member
Nov 19, 2006
1,633
2,000
Habari wakuu!!
Nimekua nikijiuliza sana hili swali na kukosa majibu!
Binafsi mm sio MTU wa kufata mkumbo bila sababu,ukichunguza asilimia kubwa ya watu wanao mchukia makonda hawana sababu ya msingi!!
==>Paul makonda amefanya mambo makubwa sana,
Amesaidia wakina mama wajane,Daresalaam kabla ya makonda walijaa wahuni na wauza madawa ya kulevya but now baada ya msako mkali chini ya makonda jiji limetulia,

=>Amesadia watu wengi hasa walemavu
Infact jamaa ana upendo wadhati kwa watanzania lakini kila anacho Fanya anaonekana hakuna kitu mbele ya watu

Yapo mengi sana yakueleza tena mazuri kwa mh Paul makonda kama kuna mabaya na yeye ni binadamu,pia

Wito wangu kwa wa Tanzania

Watanzania tuache chuki zisizo kua na msingi kama amekosa nafasi ya ubunge its OK muache akafanye mambo mengine.

Unakuta lijitu linakereketwa na MTU asiye kua na hatia watanzania tuache kufuata mikumbo,

#povuruksa
Unafua kaniki iwe nyeupe?
 
Mafiningo

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
1,307

Watu hawapendi mtu mwenye majivuno,, nadhani hiyo umeiona kwa jamaa yako.
Watu hawapendi mtu mwenye kejeli na dharau kwa walio chini yake, hii ni tabia ya rafiki yako.
Watu hawapendi mtu mwenye kuonea watu,,, nduguyo pia ni muonevu sana.
Mnafki
Halafu kuna vimaneno mitandaoni vibaya vingi vinamhusu.

Bahati mbaya kabisa anapata wapambe kama wewe ambao hamuwezi kumwambia ukweli zaidi ya kumsifia ili matumbo yenu yashibe.

Hayo unayajua?
 
Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
520
500
Bashite ni mtu wa mungu, na siyo Mungu!

Hatujasahau footage akiwa anavamia studio za clouds na wahuni wenye silaha za kivita.

Kauli zake za kishetani kuwadharau binadaam wengine(Pierre liquid) kuwa ni mtu wa hovyo hovyo.

Ana jinai ya kujibu kwa kufoji vyeti,

Huyu bashite ni tatizo kwa kweli, na kama ni uchawi basi mnashiriki naye sana
Wewe kama husahau basi yeye Mungu husahau pale unapomkaribia na kutubu. Mungu amesema dhambi zako zitakapo kuwa nyekundu mimi nitazigeuza na kuwa nyeupe kama saruji
 
BUSH BIN LADEN

JF-Expert Member
Mar 16, 2019
2,099
2,000
Ukiachana na dharau na majivuno ya kishamba aliyokuwa nayo ila pia alipenda apate sifa kwa vitu vidogo. Sijui angekuwa na hata nusu ya uwezo wa mkuu wa mkoa wa Simiyu ingekuwaje.

By the way asikabidhi ofisi kabla hajamalizia ule ujenzi wa daraja jangwani alioahidi kuliinua urefu wa mita 300 angani.
 
Kigoma Independent

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
1,821
2,000
Habari wakuu!!
Nimekua nikijiuliza sana hili swali na kukosa majibu!
Binafsi mm sio MTU wa kufata mkumbo bila sababu,ukichunguza asilimia kubwa ya watu wanao mchukia makonda hawana sababu ya msingi!!
==>Paul makonda amefanya mambo makubwa sana,
Amesaidia wakina mama wajane,Daresalaam kabla ya makonda walijaa wahuni na wauza madawa ya kulevya but now baada ya msako mkali chini ya makonda jiji limetulia,

=>Amesadia watu wengi hasa walemavu
Infact jamaa ana upendo wadhati kwa watanzania lakini kila anacho Fanya anaonekana hakuna kitu mbele ya watu

Yapo mengi sana yakueleza tena mazuri kwa mh Paul makonda kama kuna mabaya na yeye ni binadamu,pia

Wito wangu kwa wa Tanzania

Watanzania tuache chuki zisizo kua na msingi kama amekosa nafasi ya ubunge its OK muache akafanye mambo mengine.

Unakuta lijitu linakereketwa na MTU asiye kua na hatia watanzania tuache kufuata mikumbo,

#povuruksa
Kwa sababu anasimama katika haki, ukweli na uwazi pia anawajibika. Na ndio maana ukiangalia wanaomchukia wengi kwanza sio watu wanaojipambania napili hawaijui hata dar es salama ko MAKONDA NI BABA LAO.
 
Mwamalili

JF-Expert Member
Sep 2, 2019
1,066
2,000
Ningekua mi Makonda ningetembea zangu nchi za watu huko ningerudi bongo after 20yrs imagine karibia kila mtu alikua akisubiri anguko lako aise khaa....
Tena ingekuwa rahisi hata kwenda kupandikiza mbegu kwa mke wake ili apate mtoto wa pili. Vipi alikwenda Masasi kumzika Mkapa au alikomea Masaki?
 
chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
2,314
2,000
Makonda ana damu ya kunguni hapendwi na hasa alivoshindwa kutoa vyeti mimi ndio alinitoka kichwani kabisa, watu wasio na sifa hutumia nguvu kubwa kutaka kuonekana ni wanaweza kumbe wanaharibu tu
 
Agogwe

JF-Expert Member
Feb 20, 2013
1,457
2,000
aliwasha moto pale alipojaribu kupambana na mashoga sawa za kulevya na wavuta shisha, wale mashetan walivyo na nguvu mpaka kapigwa ban asifike marekani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom