Uchaguzi 2020 Kwanini Paul Makonda ametoswa na Patrobas Katambi amepata uteuzi?

Uzuri wa watz maswali wanatunga wao. Then wanasema Ni mtihani na majibu wanatoa wao. Mambo yangekuwa rahisi namna hiyo kuyaelewa Basi Siasa ingekuwa sio Siasa.
MAKONDA AIJIBU HIVI MAREKANI BAAD YA KUMFUNGIA KWENDA HUKO



Mabeberu hatari sana wakishakuweka katika buku lile buku jeusi basi hata waliokuwa wanakubeba watakutosa, na wapo tayari kuafikiana na serikali inayohusika kuwakubalia wamshughulikie vipi bila kuitia serikali husika aibu mradi wapewe uhakikisho kuwa aliyetuhumiwa kwa ushahidi aondolewe madarakani asije kuleta madhara zaidi kwa jamii.
 
Makonda ana nguvu kubwa ndani ya chama na hakuna wakumuweka nje huyu mwamba ni suala la muda tu, kinachoendelea sasa ni danganya toto..
 
Je.mama yetu yule alitoa boko kule mbeya ktk uchaguzi wa viti maalum vp na yy katoboa ? Yule mama mirry mwanje.......
 
Katambi mjanja juzi alimtukana lissu na kujianzishia Uzi humu watu wakamfokea hatimaye kaonekana
Lakini pia mshindani wake kuna muda aliwakorofisha Viongozi wa kitaifa...alikua kwenye mafaili ya mangula Kwa muda...Katambi alifanya smart move kwenda kugombea Shinyanga kwani alishajua mapungufu ya mshindani wake.
 
True..na hakuna MTU amewahi kuteuliwa kuwa mbunge baada ya kushindwa kwenye mchakato.
 
Makonda hakuwa mjanja. Angejikita Kawe angepita. Ndungulile baba yake alikuwa ni mtu wa system. Hao hawakatwi, huoni akina Nape, January wamesurvive pamoja na ukaidi wao hapo nyuma.
CCM wameogopa kumteua MAkonda Kwa kukwepa wapinzani kushinda Kigamboni Kwa kumwekea MAkonda Pingamizi kuhusu elimu na majina yake...too vulnerable na CCM hawawezi chukua hiyo Risk.
 
johnthebaptist,

Demokrasia iliyokomaa ya chama kongwe wewe si ndio kiherehere wa chama cha kijani kibichi ebu ona demokrasia ilikanyagwa hapa.
Screenshot_20200820-185954.png
 
Back
Top Bottom