Kwanini padri mpemba hakamatwi kama vile ilunga?

Status
Not open for further replies.

ugasa

Senior Member
Oct 21, 2013
193
52
kwa mujibu wa gazeti la Annur sheikh Ilunga amekamatwa na kufunguliwa mashtaka, Nalipongeza swala hili ili sheria ifanye kazi yake .
lakini kwa mujibu wa taarifa za mwanzo Miezi 5 iliopita zilitolewa na polisi waliokuwa wanatafutwa ni sheikh Ilunga na Padri Mpemba kwa mujibu wa magazeti mengi yalisema hivyo
Swali mbona Padri mpemba hakamatwi na kupelekwa mahakamani kama sheikh Ilunga ili mahakama ichukue hatua?
Au padri mpemba kasemehewa kabla ya mahakama kuamua?
huu ndio utawala wa sheria?

Haya mwaswali

TUJIKUMBUSHE YALIONDIKWA KATIKA GAZETI LA SEREKALI LA HABARILEO KUHUSU KUTAFUTWA KWA ASKOFU MPEMBA.

http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/9521-askofu-mchochezi-atakiwa-kujisalimisha

tAARIFA YA POLISI MWANZA
[h=3]Masheikh, askofu waingia matatani kwa uchochezi[/h]By Waandishi Wetu

Imewekwa Thursday, February 28 2013 at 12:01

tanzania.jpg




Kwa upande wake Askofu Mpemba wa Kanisa la Tanzania Field Evangelist yeye anasakwa kutokana na kutoa mkanda wa video (DVD) yenye jina la ‘Inuka Chinja Ule’ ambayo imepelekea watu kupigana na kusababisha vifo. Polisi inamtaka askofu huyo kujisalimisha polisi haraka vyenginevyo ili kuchukuliwa hatua za kisheria
 
Kwa taarifa yako Mpemba siyo padri. Ni askofu na hana kosa kisheria. Yeye alichosema ni kuwa, 'wakristo hatutaishi kwa kuzingatia imani ya kiislam'. Sheikh Ilunga akasema, 'ukikutana na padri au askofu, piga, ua, chinja'!
 
Udini huo unakusumbua. Hivyo napiga tu. Mimi si na wala sitegemei kuwa mdini.
 
Kwa taarifa yako Mpemba siyo padri. Ni askofu na hana kosa kisheria. Yeye alichosema ni kuwa, 'wakristo hatutaishi kwa kuzingatia imani ya kiislam'. Sheikh Ilunga akasema, 'ukikutana na padri au askofu, piga, ua, chinja'!
mahamkama gani alioplekwa ikasema mpemba hana kosa?mwanzo si wakitafutwa wote? au yameisha kienyeji
 
nadhani askofu mpemba apelekwe mahakamani ili hatua zichukuliwe, kama hana kosa mahakama iamue
 
Tofautisha kati ya padri, mchungaji na askofu kabla ya kuposti.
 
kwani sakata liliishia wapi? Una uhakika halikufika mahakamani suala hili?
naomba kama unataarifa kesi ilifunguliwa wapi? gazeti gani liliripoti? maana ya Ilunga waandishi wa habari waliitwa. hili jee
 
siasa za chadema na ccm unazileta katika mambo ya msingi. hata lwakatare aliitwa gaidi lkn mahakama ilitengua. swali hapa kitu gani kilichozuia hadi askofu mpemba kuwa huru bila ya kufikishwa mahakamani

She-tani Ilunga kauli zake za "uweni mapadri" zimetekelezwa. Hivo analakujibu mahakamani kwa kauli za uchochezi.
 
nadhani askofu mpemba apelekwe mahakamani ili hatua zichukuliwe, kama hana kosa mahakama iamue

mpeleke wewe,halafu akishawekwa ndani omba shekh wako afutiwe kesi yake.Tatizo mnadhani serikali ni msikiti,ukiweza kulalamika unashinda.
Jifunzeni mpate maarifa.sio kujifunza karate tuu!
 
kosa gani hilo chinja ule je hili ni kosa mi mbona nachinja na kula mwenyewe
watu baada ya kuchinja wanyama, wakachinja watu. hilo ndio kosa kisheria. lkn mahakama ndio chombo cha kutafsiri sheria na sio wewe zumbumbu
 
mpeleke wewe,halafu akishawekwa ndani omba shekh wako afutiwe kesi yake.Tatizo mnadhani serikali ni msikiti,ukiweza kulalamika unashinda.
Jifunzeni mpate maarifa.sio kujifunza karate tuu!
matusi ya nini?acha kwa kufikiria mafuabadala akili. huu sio majadala wa zitto na chadema. Nadhani si vizuri polisi kumuacha mpemba akitamba mitaani wakati hapo mwanzo wakimtafuta.
 
askofu mpemba akitafutwa sana na polisi, lakini sasa hivi anaoekana . hii ni kuitia doa ccm 2015 kwa waislam. apelekwe mahakamani na mahakama iamue, kama hana kosa basi awe huru
 
Mbona mnaumia sana juu ya uislam na waislam? Mnajua nchi za magharibi watu wameukubali uislam kwa kutaka kujua kwanini uislam umapigwa vita? Walipousoma wakaona kila kilichomo kwenye uislam ni ukweli na ndio maisha tunayotakiwa kuishi. Hebu msome dkt. Laurence Brown, tumia akili yako mwenyeo sio unaishi kwa akili ya papri au mchungaji wako....wake-up
 
askofu mpemba akitafutwa sana na polisi, lakini sasa hivi anaoekana . hii ni kuitia doa ccm 2015 kwa waislam. apelekwe mahakamani na mahakama iamue, kama hana kosa basi awe huru

kwani wewe ulikuwa hujui lengo hapo ni muslam tu huyo mpemba geresha ----- tu tizama hata mihadhara kupigwa marufuku walilengwa zaidi waislam
 
mbona mnaumia sana juu ya uislam na waislam? Mnajua nchi za magharibi watu wameukubali uislam kwa kutaka kujua kwanini uislam umapigwa vita? Walipousoma wakaona kila kilichomo kwenye uislam ni ukweli na ndio maisha tunayotakiwa kuishi. Hebu msome dkt. Laurence brown, tumia akili yako mwenyeo sio unaishi kwa akili ya papri au mchungaji wako....wake-up
wana akili lkn hawazitumii. Wengi wakisikia uislam wanataharuki
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom