Vilikuwepo vitabu ila kanisa katoliki halikuandika Biblia ila waliviunganisha vitabu ili kupata Biblia. Na vipo vitabu vilivyoachwa kujumuishwa kwenye Biblia. Zamani sisi tulikua tunasoma darasani haya Kama somo. Ni muhimu Sana kujua Nani aliandika vitabu vya Kwenye Biblia, aliwaandikia kina Nani na kwanini, je kuna criticism zozote ktk maandishi yake. Yapo mengi mno mtu anatakiwa ajifunze kuhusu Biblia kabla hajaanza kusoma yaliyomoWewe ndio hujitambui mkuu
Biblia ilikuwepo kabla ya Kuzaliwa kwa Yesu,ni Biblia ndiyo iliyitabiri kuzaliwa kwa Yesu!
Baada ya kuzaliwa kwake ndio wanafunzi wake wakaongeza vitabu ambavyo leo vinaitwa agano jipya!
Bibilia ya kwanza iliandikwa kwa lugha ya Kiebrania!
Nenda kafanye homework ujui lini ukatoliki umeanza!
Orthodox ni kanisa la kwanza hata kabla ya Ukatoliki na walitumia Biblia!