Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,441
- 25,582
Kaanzishe thread yake, tutakujia huko...hapa the topic is ClosedAlizaa watoto wengine baada ya YESU
Kaanzishe thread yake, tutakujia huko...hapa the topic is ClosedAlizaa watoto wengine baada ya YESU
Topic Closed..Swari liko hivi kama mtu anapokufa roho humuludia muumba sasa kwa ss wakiristo yesu atakuja kuwafufua wakina nani????
KWANINI PADRE Luther ALIFUKUZWA KANISA KATOLIKI? NA KWANINI ALIONDOA BAADHI YA VITABU KWENYE BIBLIA AGANO LA KALE?
Padre Luther alikuwa miongoni mwa Mapdre wenye karama nyingi ndani ya Kanisa katoliki wakati wake, Yeye alikuwa na Madai mengi sana juu ya mapungufu kwa kanisa. Hata hivyo madai yake mengi hayakuwa na msingi wowote.
Moja ya madai yake ilikuwa ni kuondoa kibali cha kwamba baada ya kuungama muumini asipewe stakabadhi ya kuonesha ameungama kwa kuwa kitubio ni siri ya MTU. Hili lilifanyiwa kazi. Mengine ikiwemo kurekebisha mfumo WA sala ya Kanuni ya Imani. Na mambo mengine mengi ambayo alipojibiwa, yeye hakuridhika pamoja na kueleweshwa vya kutosha. Alikuwa ni Great Thinker sana.
Mbaya zaidi alipokuja kusababisha mpaka akajitenga na kanisa ni kitendo cha kuondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia ikiwemo pia kupunguza baadhi ya mistari kwenye vitabu kama cha Esta na Cha Danieli.
Aliondoa vitabu vya Deutrokanoni na vingine baadhi na kuwa jumla ya vitabu 7 vilivyotolewa kwenye Biblia. Na kila kitabu alikuwa na sababu yake aliyoibainisha. Kimsingi alipata wafuasi wengi WA kumuunga mkono hoja yake hasa wale ambao walikuwa wanatafta njia ya kuchuma pesa kiulaini. Na hapo Biblia mpya ilianza yenye Vitabu pungufu.
Na ndio maana Leo watu hawaujui Ukristo vizuri na wanakinzana bila kujua historia ya kanisa. Watumishi wengi WA Mungu hasa HAWA WA kileo wasiojua nhistoria vizuri wao kila kitu wanapinga. Sio kosa lao Bali ni kosa la kutokujua historia ya kanisa.
Matumizi ya Ubani yalipingwa sana, na hapa ilikuwa ni kuondoa idadi ya waelewa. Kutokana na watu wengi walikuwa wamegeuka kama waganga kila mapepo ya kiwakabili walitumia ubani kuyafukuza na yalikimbia, lakini watu walijisahau kusali na kuomba na hata kufika ibadani ikawa nadra maana wanajua kujiponya kuondokana na majini na wachawi. Hapa Padre Luther na wenzake wakapiga marufuku matumizi ya ubani na kuwa sihi wakazanie Neno zaidi.
Hapa walichotakiwa kufanya ni kuliishi Neno la Mungu na wakati WA ibada basi ubani uchomwe kama Mungu alivyo agiza.
Luther na wenzake lengo lao lilikuwa ni biashara hapo baadae na kimsingi mpango huo ulifanikiwa. Na ndio maana mpaka Leo watu wametawaliwa na mfumo WA majini katika maisha yao kwa kuwa wamefungwa akili ya kujitambua na wanaamini maneno ya mdomoni na sio Maandiko ya Biblia kama yanavyosema.
Nimengi ya kujifunza sana Leo hii lakini kwa Leo naishia hapa.
deogratius Nalimi Kisandu.
1. 1. 2017.
Hatuangalii mwandishi wa kitabu ni nani.... na hiki ndio kitu pekee watu wengi wanafeli.... tunachoangalia ni je alichokiandika kina mantiki na pia kina uhusiano na bible.... ndio maana nikasema ni kitabu ambacho reference yake ni biblia... unachoshindwa kuelewa ni nn labda au hujui maana ya reference?Mwandish wa kitabu hicho alikua n nan...? Maisha yake yalikuaje...? Alifanya shughul gan...? Kwa nn tumuamn mwandish wa kitabu hicho...? N sawa n kuniambia nimuamn Erick shigongo...
Hil n swala la Iman kwa hyo kila kitu unapaswa kuleta reference ya neno la mungu kutoka kwenye biblia...asante
Mkuu kwa nn yeye awe tofaut....? Una uhakika gan na maandiko yake...? Je alifanya kaz gan...? Je alikua n mwinjilist, Nabil,mwalim ama mchangaj, je n kitu kilicho mu influence yeye aandike kuhusu Iman...? Je aliongozwa na roho mtakatifu ama utash wake...? Huon alichokiandika na sawa na story za kina Erick shigongo...? Yaan Hana tofaut na kina Hellen Katka kuandika majarida na vtabu...huon ww ndo hutumii hakir...?Hatuangalii mwandishi wa kitabu ni nani.... na hiki ndio kitu pekee watu wengi wanafeli.... tunachoangalia ni je alichokiandika kina mantiki na pia kina uhusiano na bible.... ndio maana nikasema ni kitabu ambacho reference yake ni biblia... unachoshindwa kuelewa ni nn labda au hujui maana ya reference?
Tatizo kubwa lililopo ni kwamba watu wengi humu ndani hawapendi kusoma, kama ilivyo jadi yetu watu wenye ngozi nyeusi...... nilipokuambia usome nilikuwa na maana yangu, kwa maana hayo majibu yote ungeyapata nadani ya hicho kitabu... halafu ni uchizi wa hali ya juu kufananisha alichokiandika huyo jamaa na story eti za Eric Shigongo.... usiongee tu eti ilimradi una kitu cha kuongea tumia akili mkuu
Tatzo ndio hlo!! Akili zkisha fungwa upande mmoja kila kitu mtacholetewa kwenu mtakipinga:na utakuwa mpinga kristo
Haya tujuze chanzo cha kanisa LA kwanza lilijengwa nchi gani? Na pia utujuze chanzo cha madhebu km protestant, Lutheran, mashahd WA yehova nk,.
*uandishi wako unaonyesha kua huijui historia ya kanisa,,,
kwa mfano huzungumzii sala kwa bikira maria na cheo chake cha umalkia, ubatizo,,, imani, na neno..
Kanisa LA kwanza lilijengwa AntiokiaHaya tujuze chanzo cha kanisa LA kwanza lilijengwa nchi gani? Na pia utujuze chanzo cha madhebu km protestant, Lutheran, mashahd WA yehova nk,
Chanzo cha uprostetant ni mafundisho potofu ya Roma,,,,Haya tujuze chanzo cha kanisa LA kwanza lilijengwa nchi gani? Na pia utujuze chanzo cha madhebu km protestant, Lutheran, mashahd WA yehova nk,
Kanisa LA kwanza lilijengwa Antiokia
Hakuna mwanadamu ambaye asili yake siyo dhambi,,, pia hiyo haimpi yeye kuwa intercessor,, intercessor ni Roho Mtakatifu pekeeBikira Maria hana dhambi kama tulivyo sisi wengine.
Malaika alimwambia Bikira Maria kuwa amebarikiwa kuliko wanawake wote, hivyo basi, Bikira Maria ni mtakatifu. Kwa utakatifu huo bila shaka yuko mbinguni.
Ndiyo maana tunamwomba atuombee sisi wakosefu.