MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

Hizi DINI MAPOKEO zinawapa shida sana. Nadhani Martin Luther angekuwa na hoja thabiti za kujiondoa Katoliki kudingekuwa na dhehebu zaidi ya Lutheran kutoka Katoliki.
 
2f4dfb5a57ef3891bc6aa2abc382c682.jpg
 
SWALI
~Mara nyingi sijawahi sikia hoja kali toka dhehebu e.g. Lutheran ikipinga Anglican. Kwanini huwa hayaungani na kuwa moja?
 
Kanisa Moja Takatifu Katoliki la Mitume ... Kanisa pekee ambalo linaweza kuhorodhesha viongozi wake kuanzia Petro hadi leo bila kupoteza hata nukta ya uzi huo .....HAKUNA dhehebu linaloweza kuleta mtiririko wa viongozi wake kuanzia kwa Petro hata ya kupika labda wapishi wawe vichaa!!! Kila dhehebu leo utajua limeanzishwa na nani! Ila Kanisa Katoliki wazushi wamebaki kuleta stori za warumi na blah blah kibao ...
 
Kanisa lililoasi Roman Catholic, linalojulikana kama Babeli Mkuu, mama wa makahaba na machukizo ya nchi.Lilianza kuitwa hivyo rasmi mwaka 538 AD na ndipo cheo cha papa kilianza rasmi baada ya mfalme wa kirumi Justinian kumkabidhi rasmi aksofu mkuu wa roma mamlaka ya kidini na kiserikali.Tangu hapo kanisa katoliki na papa kwa kutumia mamlaka hayo walianza kutesa na kuua wakristo waaminifu waliopinga mafundisho potofu ya kanisa katoliki. Mateso yaliendelea hadi mwaka 1798 , Biblia inasema kipindi hiki upapa ulipata jereha la mauti. Mfalme Napoleon wa ufaransa alikataa kuwa chini ya papa,kwa kumtumia Jenerali Berthia alifanikiwa kumuua papa. Kanisa katoliki likapoteza mamlaka lililokuwa nayo.Lakini jeraha hili lilikuja kupona mwaka 1921, pale dola ya Italy ikaamua kutuoa jiji la vatican kwa kanisa katoliki na kumkabidhi papa mamlaka ya kidini na kiserikali kama walivyofanya awali.hapa Biblia inasema jeraha la mauti lilipona (ufunuo 13:3). Hata vitabu vya kanisa katoliki vinathibitisha maneno haya kuwa jeraha lilipona wakati huu.

Hili ndilo kanisa katoliki.
 
Petero hajawahi kuwa pope,ni uzushi tu walizusha watu,katika kitabu cha warumi utaoona paul akiongelea kuhusu rumi na hakuna sehemu kamtaja petero kama pope,sana sana utagundua paul na petro walikuwa kama simba na yanga,
hawakupatana,
petro alitumia mda mwingi mashariki ya kati na si roma
 
Mtumishi wa Mungu Askofu Ignatius wa Antiokia aliyeishi hapa duniani hadi mwaka 107. Alisema, "Popote alipo Yesu Kristu ndipo lilipo Kanisa Katoliki". (Barua kwa Kanisa la Smyrna, Sura ya 8).

Askofu Ignatius wa Antiokia alikuwa mwanafunzi wa Yohana, Mtume wa Yesu Kristu. Alihimiza umoja wa Kanisa Katoliki kama ambavyo mwalimu wake alivyotuachia maneno ya Kristu:

" Wote wawe na umoja; kama wewe, Baba, ulivyo ndani yangu, nami ndani yako; hao nao wawe ndani yetu; ili ulimwengu upate kusadiki ya kwamba wewe ndiwe uliyenituma. (Yoh.17:21)

Kwahiyo ndugu jina Kanisa Katoliki limeanza kutumika kabla hata Biblia haijakamilika. Mtiririko wake wa viongozi wake naweza kuuweka hapa kuanzia Petro hadi leo tunae Pope Francis. Naomba uweke hapa listi ya viongozi wa kanisa lako kuanzia kwa Petro hadi leo ....ukiweza bila ujanja ujanja nakuwa msabato rasmi....
 
Petero hajawahi kuwa pope,ni uzushi tu walizusha watu,katika kitabu cha warumi utaoona paul akiongelea kuhusu rumi na hakuna sehemu kamtaja petero kama pope,sana sana utagundua paul na petro walikuwa kama simba na yanga,
hawakupatana,
petro alitumia mda mwingi mashariki ya kati na si roma
16 Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.

Mathayo 16 :16

17 Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.

Mathayo 16 :17

18 Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.

Mathayo 16 :18

Hapo Yesu anaongea na Petro ....unajua jina la kwanza la Petro? Unajua maana ya jina Petro? Unajua maana ya neno Kefa? Petro ndio alipewa uongozi wa Kanisa na ukitaka kujua alikuwa kiongozi unaposoma matendo ya mitume utaona kuna muda akina Paulo walikuwa kwenye mabishano hadi ikabidi waende walipo mitume kumaliza ubishi na utaona Petro alisema maneno gani pale kuonesha yeye ndio kiongozi wa mitume.....sasa ni Kanisa Katoliki pekee linaweza kuonesha mtiririko huo wa uongozi wa Kanisa hadi leo na kutimiza unabii wa Yesu kuwa "hata kuzimu haitashinda" ....
 
Alafu wazushi juu ya Kanisa muwe na consistance ....sometimes mnasema mwanzilishi wa Kanisa Katoliki ni mfalme wa Kirumi Constatine ....hapa nimeona mnamtaja mwingine tena ....alafu mnafikiri Kanisa halikubali ukweli wa makosa ambayo yamewahi kufanywa na baadhi ya viongozi wake ....kweli yapo machafu lakini kwa muongozo wa Roho Mtakatifu limebaki kuwa moja katika imani moja .....Askofu Kilaini amewahi kuweka wazi hayo machafu lakini "kuzimu wakashindwa" na lipo hadi leo.
 
Kanisa lililoasi Roman Catholic, linalojulikana kama Babeli Mkuu, mama wa makahaba na machukizo ya nchi.Lilianza kuitwa hivyo rasmi mwaka 538 AD
Nikuletee Chronological order ya Popes...? Mpaka huo mwaka kulikuwa na popes zaidi ya 10..

Hahahahaha....Huu upuuzi uliondika nilishaujibu post za nyuma...
 
Alafu wazushi juu ya Kanisa muwe na consistance ....sometimes mnasema mwanzilishi wa Kanisa Katoliki ni mfalme wa Kirumi Constatine ....hapa nimeona mnamtaja mwingine tena ....alafu mnafikiri Kanisa halikubali ukweli wa makosa ambayo yamewahi kufanywa na baadhi ya viongozi wake ....kweli yapo machafu lakini kwa muongozo wa Roho Mtakatifu limebaki kuwa moja katika imani moja .....Askofu Kilaini amewahi kuweka wazi hayo machafu lakini "kuzimu wakashindwa" na lipo hadi leo.
Huyo Kitaja ni kama kachanganyikiwa yani...ni shida..

Unajua makanisa yao yameanzishwa na watu..Sasa inawauma kila wanapojaribu ku-trace mwanzilishi wa Kanisa Katoliki wana kuta ni Kristo peke yake chini ya Petro..

Hivyo wanachofanya ni kujaribu kupachika mtu ili ionekane Kanisa lilianzishwa na mtu kama ya kwao...

Inawauma sana...ila watafanyaje sasa...tiwaonee hurumaa
 
Huu mjadala tumeshaufunga mkuu ....hapa hawaji na hoja mpya zaidi ya zile zile za akina Ellen White na wazushi wengine ....leteni uzushi mpya basi ili tuwajibu maana mnayoleta yameshajibiwa toka zama hizo na kufanya wengine tukopi tu majibu ....hebu leteni uzushi mpya wa kutufikirisha ....kama hamjui moja ya sababu ya Kanisa kufanya juhudi ya kukusanya vitabu vilivyojenga Biblia ni wazushi waliokuwa wakija na mafundisho ya uongo juu ya Kristo ....uzushi tumeuzoea na Kanisa lipo na leo ni mwaka gani wa Gregory? ...hahaha ...waulize leo tarehe ngapi alafu waulize wamejuaje ..hahaha ...
 
Tumesha Funga mhadala huu....
 
Huyo Kitaja ni kama kachanganyikiwa yani...ni shida..

Unajua makanisa yao yameanzishwa na watu..Sasa inawauma kila wanapojaribu ku-trace mwanzilishi wa Kanisa Katoliki wana kuta ni Kristo peke yake chini ya Petro..

Hivyo wanachofanya ni kujaribu kupachika mtu ili ionekane Kanisa lilianzishwa na mtu kama ya kwao...

Inawauma sana...ila watafanyaje sasa...tiwaonee hurumaa
Hamuwezi kupinga ukweli kuwa Kanisa Katoliki na papa wenu ndio mnyama wa ufunuo 13 na 14. Pia ndiye Kahaba Mkuu wa ufunuo 17:5.Anaitwa Kahaba mkuu kwa kupotosha Biblia Takatifu, wamejiundia Biblia yao imeongezwa maneno na vitabu visivyovuviwa na Roho Mtakatifu.

Kanisa hili limehusika kutesa watakatifu na hivi karibuni litaibuka tena kupitia New World Order. Kanisa katoliki limejipa uhalali wa kuwa msemaji wa Mungu hapa duniani (kufuru). Kwa uzushi huo, wakisaidiwa na mataifa makubwa ikiwemo Marekani, watalazimisha dunia nzima wafuate mafundisho ya kiroma ikiwemo ibada ya siku ya kwanza ya juma yaani jumapili ambayo iliasisiwa na kanisa katoliki.Mtu awaye yote atakayekataa kutii sheria ya jumapili amri itatolewa auawe (Ufunuo 13:15-18).

Daniel aliiliona hili anasema " kutatokea wakati wa taabu ambao mfano wake haujakuwepo tangu kuumbwa kwa dunia, lakini watu wa Mungu wataokolewa (Daniel 12:1). Yesu anasema " mwenye kuvumilia hata mwisho ndiye atakayeokoka" (Mathayo 24:13).
 
Back
Top Bottom