Kwanini PAC isivunjwe?

titomganwa

Senior Member
Oct 12, 2010
126
62
PAC mpaka sasa imeudanganya umma na kuchanganya watanzania. Wachukuliwe hatua gani? Tutawaacha hivihivi? Nononononooooooo!

Kwaninin maisha yao yasichunguzwe ili tujue kama hawajarubuniwa kutudanganya? Wakiwa safi hewalaa! wakiwa hovyo wachukuliwe hatua!

Kamati hii ivunjwe, baada ya hapo inatakiwa iundwe kwa kufuata uzalendo, upeo na taaluma za wajumbe.Lengo liwe ni kutorudia kudanganya umma tena kwa namna yeyote.

Naishia hapa
 
Kama hujaiamini PAC iliyopo katika mchanganyiko wa muundo wake utamwamini nani?
 
Back
Top Bottom