Kwanini OIC waitake Tanzania kama Taifa lakini waikatae Bakwata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini OIC waitake Tanzania kama Taifa lakini waikatae Bakwata

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kilimasera, Jan 24, 2011.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  1.Wakatoliki kuwa na Balozi wa Vatican ni kuwa kisehemu hicho cha Vatican kinahesabika kama nchi huru kama ilivyo Italia.
  2.Waislamu wapi lilipo pande la dunia hii ambalo linaitwa OIC.
  3.Mbona nchi nyingi za Kiislamu kama Iran, Saudi Arabia, Libya nk zina balozi zao hapa na zinaheshimika sana.
  4.kwanini Wakristo wanaikataa OIC hata wale ambao si Wakatoliki na hawana balozi za madhehebu yao.
  5.Kimsingi Bakwata kama Shirika la kidini lina uhuru wa kujiunga na OIC, lakini OIC wao huzitaka nchi na si mashirika ya kidini. Kwanini OIC waitake Tanzania kama Taifa lakini waikatae Bakwata?

  wanajamvi embu tujadili kidogo juu ya hilo maana hata mimi huwa linanichanganya sana
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Hakuna ayat kutoka Kolani inayosema OIC. Only "those" few who are mentally twisted will love and like and fight for OIC
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kwani hii mada imeanza anzaje haswa?
   
 4. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mie kwa mtazamo wangu naona serikali iruhusu wao kama wao waingie kwenye Mahakama ya Kadhi au kujiunga na Jumuiya ya Nchi za Kiislamu (OIC) wao kama wao na sio nchi na wananchi wake au walipa kodi wake ili maamuzi yatakayotolewa huko yasiwe kero kwa wakristo kuliko nchi ikipelekwa huko baadae kutazuka migogoro isiyo na mwisho cha muhimu tusikwazane pawepo na amani tu.
   
 5. N

  Nonda JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Haya ya mahakama ya kadhi na OIC kwa Tanzania tunayakuza na kuwa na woga usio na maana.
  Mahakama ya Kadhi ipo Kenya tokea wamepata uhuru, pia Zanzibar, tena zipo chini ya serikali au tuseme serikali ndio imezianzisha na kuona zinafanya kazi zake.
  OIC..Uganda na Msumbiji ni wanachama wa hii jumuia kama nchi na si jumuia za kiislamu zilizojiunga. jee wao wameathirika vipi?

  Hapa ndio unapata kujiuliza masuali mengi tu kwa nini uzito uko kwa serikali ya Tanzania katika mambo hayo. Naelewa hofu ni kuwa viongozi wa taasisi za kikristo zinapinga haya mambo, na viongozi wa kiislamu na taasisi zao zinatia msukumo ili haya yafanyike.
  Lakini jee hatuoni kuwa hali hii inajenga jamii ambayo badala ya kuuzima udini , ndio tunaupalilia ?

  Sehemu moja kubwa ya jamii wanajiona kuwa wanapigwa vita na hivyo kujenga hisia kuwa serikali inaegemea upande wa sehemu nyengine kubwa ya jamii yetu.
  kwa muelekeo ambao mambo haya mawili yanashughulikiwa na serikali na taasisi za kidini ni wazi kuwa kuna hisia kali za kidini zinajengeka katika jamii na ni busara kwa viongozi wa dini na wa serikali kukaa pamoja na kupitia kwa undani faida na hasara ya mambo haya mawili kwa jamii ya Tanzania.badala ya kauli za kigeu geu kila wakati ambazo zinazidi kuwachanganya wananchi.
   
 6. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  totally wananchi wamechanganyikiwa kabisa kwanza hawaelewi maana ya hayo mambo ila wanayasikia tu redioni na kwa viongozi wao wa dini hivi kwani serikali imejiunga na jumuiya gani ya kikristo
   
 7. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkubwa ukiwa unaongea uwe na data, kwa taarifa yako kilichofanyika kenya kwenye hii katiba mpya ni kama ilivyokuwa tanzania... mahakama hizo ni ruhusa kuwepo lakini ilionekana si busara kuendeshwa na serikali kwa kuwa ilikuwa ni issue ya kidini hivyo iendeshwe na taasisi za kidini zenyewe, wakashindwa kui-fund ikatoweka kimya kimya na hata kenya wasipo i-fund wenyewe itatoweka... sasa kwa nini wasio waislam hawataki iingie kuwa funded na fedha za umma ni kama wewe na ndugu yako wote mmeoa then anakulazimisha mshirikiane kumtunza mke wake wakati wakati wote mna nguvu za kutafuta na mna kipato... fikirieni wakatoliki nao wana mahakama zao wanaziendesha wenyewe kwa maana hiyo na wao mahakama yao itambulike kisheria na ianze kupata mgao wa bajeti.... basi ndio hivyo mambo ya kidini yaendelee kuwa chinio ya taasisi za kidini na serikali isiingilie kabisa... jitahidini ongeeni muangalie jinsi ya kuendesha hiyo mahakama wenyewe kwa funds zenu kama wenzenu wanavoendesha za kwao bila hata watu wengine kujua kuwa zipo..... kuhusu IOC soma katiba yao vizuri ili ujue kwa nini zenji ilikuwa rahisi kuingia na si tz yote....:suspicious:
   
 8. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  How?
   
 9. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  unasema how?warutheri watadai kadhi yao,anglikana,makonde,wachaga then migogorooooooooooooooooooooooo
   
 10. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Wenye kudai hicho kituko ni wafuasi wa allah kiumbe tuu. Wengine wote wenye ilmu akhara na ilmu dunia hawataki huo upuuzi wa Msikiti wa Mtoro wa kuvua wanawake bra na kuwashika matiti, huku wakiwa na wake kama timu ya netiboli.

  Ni wehu au wendawazimu au ukichaa kupigia debe OIC.

  Thinker are better than that. Kwabahati nzuri, hakuna thinker ambaye ni OIC. If you are OIC, you are not a thinker.

  Kwahiyo, usipoteze muda wako kufikiria hio takataka ya allah itatokea bongo. As long as thinkers are in Bongo, hiyo itabakia historia kama ya mwembe chai kwa Muham-mad muuza kahawa.
   
 11. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ni kweli max mie nimekua nawaza sana juu ya hili baadae nimeona watu wanajazana ujinga tu kwa ishu ndogo sana kama wanahitaji bora bakwata iende huko kwenye kadhi na OIC ila wasishirikishe serikali wao wanachotaka ni fedha nadhani toka serikalini kitu ambacho si kweli na wanavyosema mbona wakatoliki wanashirikiana na vatcan sijui hawafahamu kama vatcan ni nchi ambayo inajitegemea na ina balozi zake katika mataifa mengine sasa hiyo OIC ni nchi gani na ina ubalozi wapi??pia ukiangalia wakatoliki mashirika yao hayaingiliani kabisa na serikali kama mashule nakadhalika yanajiendesha kibinafsi hakuna mkono wa serikali!
   
 12. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Thanks mkuu
   
 13. NGUZO

  NGUZO JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  mkuu inaonekana wewe ndo unazungumza kishabiki bila kutuambia madhara ya OIC na mahakama ya Kadhi. kama mnatuzuia tusiwe na OIC ili waislam wasipate misaaada toka kwa Waislam wenzae wapate kujiendesha wenyewe ikiwamo ku fund hiyo mahakama ya kadhi, kuna ajenda gani hapo kama si amri toka kwa Maaskofu??
  Ngoja nikupe mfano mmoja kuhusu serikali kufund mahakama ya kadhi kwa fedha za walipa kodi, hapa hapa nchini kuna mahakama nyingi, mojawapo ni mahakama ya ardhi, inagharimiwa na pesa za walipa kodi wote hata ambao hawamiliki ardhi, lakini mbona inahukumu kesi za wenye ardhi tu??
  halafu usitake kuladhimisha kuwa kila dhehebu litataka mahakama yake si kweli, mfumo huu upo kwa waislamu pekee, wakristo na wengine wanatumia Common law na Indian Law, huko Vatican kwenyewe kwa Papa hakuna mahakama ya kikatoliki, ghafla tu iibukie Tanzania kisa, ndugu zao waislamu wanahitaji kuhukumiwa kwa sheria za kuraan katika baaadhi ya mambo yao!! huu ni wivu kaka tena wivu mbaya sana! ni sawa na baba mwenye watoto wake wawili, then bahati mbaya akiugua mmoja na baba akisema ampeleke Hospital India specialist kwa tatizo lake say moyo, then na huyu mtoto mwingine ambaye akiugua anaweza kutibiwa maradhi yake hapahapa Bongo nae atake kupelekwa India kwa kuumwa mafua, huu ni wivu!, mbona Waislamu hawasemi kitu kwa pesa za watanzania Mabilion yanayotolewa katika mashirika ya Kanisa? ktk memorandum of understanding?
   
 14. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mzee uwe na reference kwamba ni mashirika mangapi yamesaidiwa na wakatoliki mimi kwa upande wangu sipingi mahakama ya kadhi kuwepo au OIC kuwepo ninachounga mkono ni kwamba bakwata ijiunge kama bakwata na waumini wake na sio kuipeleka nchi huko unaposema nchi means unageneralise wananchi wote na tanzania sio nchi ya kidini ila kwanini bakwata wanaona ugumu kujiunga wao wenyewe??na wanataka wajumuishe wananchi wote!
   
 15. NGUZO

  NGUZO JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  kaka naona upo nyuma sana katika hili la 'memorandum of understanding' naomba nenda kamuulize Padri wako atakwambia, ni mashirika mengi ya Kikristo kama mashule na Hospital yanakuwa funded na serikali ya Walipakodi wote wakiwamo Waislamu.
  kuhusu OIC kaka, si sera ya OIC kusaidia waislamu pekee, haina ubaguzi, Kuna nchi zaidi ya 20 Africa zimejiunga na OIC na wananchi wake wote wanafaidika, kuna nchi hata za ulaya kama Uingereza amabapo waislamu ni minority sana lakini mbona kuna OIC?
   
 16. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kwanini wewe unangangania iende nchi kwenye OIC na si Bakwata Hakuna sehemu yeyote ya katiba ya tanzania inayoonyesha tanzania imejiunga na jumuiya yeyote ya kikatoliki mie nadhani kama wewe unakijua kifungu hicho labda unambie ni ibala ya ngapi pia kuhusu suala la misaada si kweli unavyosema nakataa kabisa pamoja na kwamba umesema uelewa wangu mdogo ila nakuhakikishia hata mtoto wa chekechea akifafanuliwa atalielewa hilo kwamba serikali haina dini hata hao wakenya unaowasema hawana hiyo mahakama ya kadhi kwa sasa wametoa kabisa mambo yanayohusisha dini kwa kuogopa migogoro kama hiyo!!pia nakuhakikishia kwamba vatcan ni nchi huru na sio jumuiya kama mnavyofikiri ndiyo maana wana balozi kwa kila nchi wanazoshirikiana nao na papa ndiye kiongozi wao ila nionyeshe sehemu inayoonyesha kwamba kuna nchi ya OIC
   
 17. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #17
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Angalia na mashekhe wako wanavyosema

  Bakwata yataka dini zivumiliane

  BARAZA Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) kupitia Baraza la Ulamaa limewataka Wakristo, Waislamu na madhehebu mengine nchini kustahimiliana hasa katika kipindi hiki ambacho kumetokea hisia za kidini katika mambo ya siasa.

  Kwa mujibu wa tamko la Bakwata, lililosainiwa na Mufti Mkuu wa Tanzania, Shehe Issa Shaaban bin Simba, tangu nchi hii ipate uhuru kumekuwa na tabia ya kuvumiliana bila kujali dini ya mtu.

  Alisema, katika tamko hilo kuwa kuvumiliana na kustahamiliana kwa madhehebu mbalimbali ya Tanzania ndiyo nguzo ya amani na utulivu ambayo imedumu tangu Uhuru.

  Mufti Simba alisema katika tamko hilo kuwa Waislamu wameridhika na kuonesha tabia ya uvumilivu ikiwemo ya kuwatazama viongozi si kwa dini zao bali kwa uadilifu na utendaji wao katika kuwatumikia wananchi.

  "Tunaomba kuwa wastahamilivu kwa sababu nchi hii tunaendesha kwa kuvumiliana na si tabia njema na wala si utanzania kuvunja nguzo hii kubwa ya kuishi pamoja kama ndugu wa Tanzania," alisema Mufti Simba katika taarifa hiyo.

  Alifafanua ni vema inapotokea jambo linalohitaji kukosolewa kwa kiongozi, busara itumike badala ya jazba, kejeli au dharau.

  Alitoa mfano wa mambo ambayo Waislamu wamestahamili kuwa ni uwepo wa Balozi wa Vatican akimwakilisha Papa kwa manufaa ya Wakatoliki na Balozi wa Italia anayeiwakilisha nchi hiyo.

  Mufti alihoji wakati Waislamu wamevumilia katika hilo, iweje wanapodai Mahakama ya Kadhi au kujiunga na Jumuiya ya Nchi za Kiislamu (OIC) inakuwa kero kubwa kwa viongozi wa Kikristo.

  "Kimsingi kanisa limejiunga na mashirika ya Kikristo ya kimataifa na yanatoa misaada kwa Kanisa na Wakristo na Waislamu wamekuwa wavumilivu, sasa inakuwaje Waislamu wanapotaka kujiunga na mashirika ya madhehebu yao, Wakristo wanakuja juu?" Alihoji Mufti.

  HabariLeo | Bakwata yataka dini zivumiliane
   
 18. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #18
  Jan 25, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  File:OIC Members.svg

  From Wikipedia, the free encyclopedia

  [​IMG]

  OIC_Members.svg‎ (SVG file, nominally 940 × 415 pixels, file size: 1.55 MB)
  This image rendered as PNG in other sizes: 200px, 500px, 1000px, 2000px.

  [​IMG] This is a file from the Wikimedia Commons. Information from its description page there is shown below.
  Commons is a freely licensed media file repository. You can help.

  [​IMG]

  Description English: Current members of Organisation of the Islamic Conference (OIC) Current Members of OIC
  Observers
  Withdrawn members
  Observer organisations
  Rejected

  Bahasa Indonesia: Anggota-anggota Organisasi Konferensi Islam (OKI) Anggota-anggota OKI sekarang
  Pengamat
  Memiliki ketertarikan untuk bergabung
  Pengamat (organisasi)
  Keikutsertaan Ditolak


  Mkuu Nguzo! katika hii mada ni lazima kuwa careful sana na kama kuna nchi nyingine yoyoye imejiunga na OIC ni mfumo wao na katiba zao na huwezi linganisha kila nchi na utaratibu wao, siipingi nOIC lakini hiki kigezo cha kusema hata UK imo huko ni uongo, we nani kakuambia UK imo OIC mkuu, check the current membersof OIC in the map above na tuache ushabiki na ubishi tu. Green ni members
   
 19. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #19
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  baelezee, baelezee huenda batajua ukweli.
   
 20. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #20
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Oneni hapo kwenye blue, hivi huyu jamaa ana................. Huu upupu ondoeni hapa
   
Loading...