Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,346
- 10,886
Nimeweza kufahamu kua ofisi ya hawa waarabu wa OBC ipo opposite na ikulu ndogo pale Arusha.
Sasa nikioanisha uwepo wa iyo ofisi katika eneo kama ilo, naanza kuelewa kua OBC wapo pale strategically na wamepewa ofisi iyo intentionally.
Ndio maana vilio vya wanaLoliondo kule Ololosokwani, Soitsambu, Losoito Maaloni na Oloirien Magaiduru vinakua kama machozi ya samaki kwenye ziwa, mto au bahari.
Au mnaonaje wanaJF???