Kwanini OCD wa Hai na RPC wa Kilimanjaro wasishtakiwa kwa kukaa kimya wakati Ole Sabaya anatekeleza uhalifu akiwa DC wa Hai?

Ndio maana nimesema wanaodai katiba wanahoja.

1.Nani wakumkamata kama Amiri jeshi amemuamuru afanye hivyo.

2.Anaye amuru hashitakiwi popote.

3.Uliyeteuliwa uliapa kuwa utamtii.

NB.
Viapo hufanyika kwa kushika vitabu vya Mungu huku miongozo ipo kwenye katiba.

Mungu huwa nishahidi kuwa mtamwinua mteule wenu bila sababu.
Asante Mungu, ni bora mbwa magufuli alikikufa.
 
Wadau nawasalimu

Nadhani wote tunayajua aliyoyatenda general Ole Sabaya DC wa Hai akiwa madarakani.

Dc Sabaya alitenda uhalifu mkubwa na leo tunashuhudia akiwa mahakamani tayari kahukumiwa kesi moja na nyingine zinaendelea. Najiuliza wakati dc sabaya anatenda uhalifu huo kulikuwa na ocd wa hai na rpc wa kilimanjaro ambao ni wajumbe wa kamati za ulinzi na usalama za wilaya na mkoa je viongozi hawa hawakuujua uhalifu huo?

Je kwanini hawakumchukulia hatua?

Au walikuwa washirika wake?

Je, kutomchukulia hatua kwanini kusitafsiriwe kuwa walishindwa kuwajibika katika nafasi zao?

Binafsi sidhani kama ni sahihi kutowachukulia hatua kwani walimuacha sabaya atende uhalifu huku wakimwona.
Sabaya alitumwa na mamlaka ya uteuzi ambayo Ni kubwa kuliko rpc au ocd,
Yaani hii Nchi ilitawaliwa na shetani joka Kuu tunamshukuru Mungu kaamua ugomvi.,.
 
Wadau nawasalimu

Nadhani wote tunayajua aliyoyatenda general Ole Sabaya DC wa Hai akiwa madarakani.

Dc Sabaya alitenda uhalifu mkubwa na leo tunashuhudia akiwa mahakamani tayari kahukumiwa kesi moja na nyingine zinaendelea. Najiuliza wakati dc sabaya anatenda uhalifu huo kulikuwa na ocd wa hai na rpc wa kilimanjaro ambao ni wajumbe wa kamati za ulinzi na usalama za wilaya na mkoa je viongozi hawa hawakuujua uhalifu huo?

Je kwanini hawakumchukulia hatua?

Au walikuwa washirika wake?

Je, kutomchukulia hatua kwanini kusitafsiriwe kuwa walishindwa kuwajibika katika nafasi zao?

Binafsi sidhani kama ni sahihi kutowachukulia hatua kwani walimuacha sabaya atende uhalifu huku wakimwona.
Sabaya alikuwa anatekeleza maagizo ya aliyemteua Magufuli kuhakikisha kuwa Jimbo/ wilaya ya Hai hapakaliki na CHADEMA inakufa including Mbowe kupotezwa.

Ni kukosa umakini wa masuala ya kisiasa na ki intelligentsia kumlaumu OCD, RPC au RC wa Hai na Kilimanjaro
 
Back
Top Bottom