NgugiAchebe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,024
- 688
Wana janvi,
Napenda mnieleweshe vizuri huu ya tabia ya nyimbo za dini kupigwa kwenye maeneo ya kilevi yaani baa he ni sawa? Sababu leo baada yakutoka mazoezini nilienda kupata supu baa flani hivi Tegeta nikakuta walevi wamekunywa vibaya wanashikana utafikiri wapo chumbani huku nyimbo za kwaya zinapigwa.
Je ni sawa kwa dini yetu ya Kikristo?
Sababu sijawaisikia kaswida za waislam kwenye baa hizohizo.
Nawasilisha