Kwanini nyie msiojulikana mnajulikana sasa mlitaka kumuua Lisu?

Hii nchi ipo siku tutakuja kupigana mapanga.. nimesikiliza clip moja ya sisi jamaa anatamba kweupe kwamba sasa watamalizia tundu lissu.

Hii ina maana kwamba hawa vijana wamechinja watamzania hadi damu zimewazoea kiasi kwamba wanasema hadharan

Mola aturehemu

Magufuli nchi hii unako ipeleka siko.

Hata ukiongeza miaka ya kukaa madarakani haita saidia , watanzania wamekuchoka.
Kwanini mlimtendea Lisu uovu mkubwa namna hii, kwanini????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom