johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,099
- 164,470
Tunajua mchicha huzaa mchicha mfano Lusekelo,Malasusa na Mokiwa hawa ni watoto wa wachungaji nao leo hii ni wachungaji/maaskofu.Pia wapo watoto wa wanasiasa ambao nao leo hii ni wanasiasa maarufu kama Januar etc.Najiuliza tu ni kwanini hatuna akina Nyerere/Kawawa walau ktk level ya uwaziri leo hii?Je walibanwa na maadili au uongozi ni karama na siyo mbeleko?Maoni yenu tafadhali