Kindimbajuu
JF-Expert Member
- Jul 8, 2009
- 710
- 243
hivi hujui rasilimali kubwa kabisa ktk kuleta maendeleo ni watu? kama watu wa huko unakoita kusini hawakuwa na nia ya kuendelea, nyerere anangewaendelezaje?Kwanini Nyerere hakuendeleza kusini kwa miaka mingi?
Kwanini sehemu nyingi zenye Waislamu wengi hazikuendelezwa kwa miaka mingi? (Hii ni tokea ukoloni)
Jadili.