Kwanini Nyerere analaumiwa kuhusu muungano? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Nyerere analaumiwa kuhusu muungano?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GIB, Jun 1, 2012.

 1. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu rais wetu wakwanza wa Tanganyika kisha Tanzania mara nyingi analaumiwa kuhusu huu muungano.
  nimeweka hii website hapa msikilizeni huyu nyerere kishautajua wanao mlaumu wanalo jambo lao.

  Mwalimu Nyerere - Audios
   
 2. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kwa sababu ni Mkristo, si unaona marehemu Karume halaumiwi?
   
 3. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 60
  Kwa sababu kwenye tukio la kuchanganya mchanga anaonekana mwenyewe tu.
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Siyo muungano tu. Hata mvua zisiponyesha Tanzania atalaumiwa Nyerere. Fuatilia threads zinazoanzishwa na wana CCM kizazi kipya utaelewa ninachosema.
   
 5. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Tatizo ni kuwa wanaomlaumu Nyerere hawafahamu wala hawakuwahi kufahamu lengo la mwalimu, na hawafahamu pia msukumo wa muungano ulitoka wapi.Kama wangefahamu what was his Legacy inside the Union nadhani angekuwa mtu wa kushukuriwa kuliko yeyote aliyewahi kuishi katika nchi hii.
   
Loading...