Kwanini nyerere aliiuwa tanganyika na kuuleta muungano?? ??

BRUCE LEE

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
2,096
1,332
Habari zenu wataalamu?ndugu zangu nimekua najiuliza maswali bila majibu,kwa kifupi ni kwamba mwalim nyerere ni roll model wangu na pia alikua anaona mbali sana,amepata sifa kubwa na heshima kubwa ktk nchi nyingi nimeona sanam yake vedado havana cuba tena karibu na the revolution plaza ya fidel castro,pia hata nassau bahamas nilipokwenda kwenye intavyuu ya kazi,baada ya kujitambulisha kua nimeto tz aliekua anani saili alifurahi sana na kulitaja jina la nyerere na kumwagia sifa nyingi na matokeo yake nikapata kazi, sasa huyuhuyu nyerere ndie alietuletea uhuru sisi watanganyika na pia yeye ndie alieshawishi muungano na wa zenj kisha ikazaliwa tz, swali kwanini mzee huyo aliiuwa tanganyika? Na tokea mwanzo muungano huo umekua na migogoro mingi lakini nyerere aliulinda sana mpaka anakufa kwanini? Kuna siri gani hapo? Nisaidie ndugu zangu. Nawasilisha.
 
Mkuu,

Mtu pekee ambaye naamini anaweza kukusaidia katika hili ni Jaji Warioba. Mwandishi wa Katiba ya 1977. Katiba hii inawezekana ilianza kuandikwa kabla ya 1977 lakini ilipitishwa baada ya kuunganisha TANU na ASP. Hata mimi ninapata masuali mengi kuliko majibu. Katiba hii ndiyo iliyoanza kutumia Tanzania bara, badala ya Tanganyika na Tanzania visiwani badala ya Zanzibar.
 
nashkuru sana, mkuu tajitahidi kufuatilia zaidi kwasababu hayo mambo yanatuhusu sana. Aksante kwa mara nyingine tena.
 
Nafikiri lengo la Nyerere si baya kabisa kwani Umoja ni nguvu na utengano ni uzaifu. Angalia USA na pia fananisha na iliyokuwa USSR. Utaona who gained and who lost. So his idea was great though it did not work successfull mpaka anakufa. The good thing he did is to stand for what he initiated kitu ambacho nakubaliana nae. Isingwezekana yeye tena aseme kwamba tuvunje muungano sababu hautusaidii wakati ni yeye alie unzisha. Lakini alifanya hivyo makusudi kwamba kufa kwake si mwisho wa dunia. Na ndiyo maana sasa hivi Bruce lee unaona mambo kwenye Muungano yanakwenda vizuri japokuwa Nyerere hayupo. Kwahiyo alianzisha Tanganyika na zikungana nchi mbili tukapata Tanzania. Ila hakuua Tanganyika it was a step ahead.

Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Africa.
 
BruceLee,

Kwa sababu tu, alikuwa na agenda za ukurusedi za Vatican za kuumaliza uIslam. Na ndio moja katika sababu zinazofanya mpaka atake kupewa utakatifu.
 
Ili apate kuendeleza ukoloni mweusi vizuri dhidi ya Zanzibar. Si unajua wakoloni weusi ndo waliobaki baada ya kuondolewa kwa wale weupe.
 
Back
Top Bottom