Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,230
- 29,608
Habari zenu jamii intelligence and great thinkers, nimekuwa nikipenda sana kufanya judgment hususani kwenye lugha hii iliyokuja kwa meli.
Mara nyingi maneno ya kiingereza ukitaka kutoa sifa kwenda kwenye nomino huwa tunaongeza neno _ness _mbele, mfano
Fear ~fearness
Rich ~richness
Humble ~humbleness
Poor ~poorness or poverty
Good ~goodness
But why the word free changes into freedom and not free~ness
Nahitaji mawazo yenu tafadhari asanteni.
Katiba mpya sio ya chadema ni takwa la wananchi.