Kumbuka hii Nokia unayoiona na kuisikia leo ni brand tuu,
Nokia za sasa ni hovyo kabisa, hasa hizi za batani specificaly kweny OS yao ya kaios
Mkuu sizungumzii copy,Mchina ndio anatoa copy, ila brand ya nokia haijawahi kushuka kiwango
Hahaaaa..Nok
Nokia ni Analog.Sasa hivi tupo 4G
Nokia walijua kufyatua vitu aisee..
😂 😂 😂 😂 mimi niliigawa aisee, nadaka moja from eBayNimedumu na hii simu 2011-2017. Ikafa betri nikaipotezea, kwa hasira naifufua tena
mkuu toka 2010 Nokia waliajiri CEO wa kwanza wa kigeni akazipiga chini hizo simu, na software husika ikauzwa kampuni fulani ireland sasa hivi imefungiwa haitumiki, watu walilalamika sana wakataka ifanywe open source na kampuni nyingi zilikuwa interested ila hakuna aliefanikiwa, kifupi ilikuwa ni scandal kubwa sana na mpaka leo huyo CEO hapendwi sana na wapenzi wa Nokia.Hivi wadau ni Mimi tu au?
Ni mimi tu ninayeona Simu za Zamani za Nokia kama Nokia2700, Xpress Music, E71 N.k zilikuwa Bora kabisa kuliko za sasa?
Je Nokia hawawezi kuzalisha tena hizo Simu?
View attachment 1490945View attachment 1490946View attachment 1490947
pengine hio 4g yako pia ni ya NokiaNokia ni Analog.Sasa hivi tupo 4G